Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

jamani karena mbona leo wewe na SweetieLee naona kama ni ma X zangu

mimi nachamba jamani,sijui kanifundisha nani aseeee Niombeeeni
Hahahaaa eti ma X zako... Uuh inabidi upunguze ikibidi uache, binafsi kwangu mimi hiyo ni homa kwa sabu sina vichambo hua napenda kuzungumza taratibu hata kama mtu amenikwaza sasa ikitokea mtu akinichamba wima naona kama ananipigia kelele alafu nakasirika sana kiasi kwamba inakua ngumu kuelewa kosa naona kama tuko kwenye kigodoro sijui yani sijui nakuaje na hutasikia nikikujibu ni kimya, utanichamba weeee mi kimya yani kimya, ila ukizungumza taratibu na nikaelewa kosa naomba msamaha wa dhati na juhudi za kujirekebisa,
 
Khaa yaani anajifanyia maamuzi yake kwa kutegemea mfuko wa mtu mwingine??
 
Kadiri unavyoendelea kujiburudiaha ndivyo unavyozidi kujitoa kwnye vifungo, as unaenda kanisani kaa vizuri na Mungu mwambie ninahitaji ubavu wangu ninauomba, uwe mwaminifu kwake atakupa wa kufanana nae
 
me alikuwa hana tabia ya kusema asante yaani haonyeshi uthamini hata kidogo. Ukimletea hichi atakwambia mbona hukuleta na kile.
halafu nina bahati mbaya na wanawake wa hivi sijui wote ndivyo walivyo?
 
Nikishawahi kutongoza kidemu flani kizur zur cha mtaani kipindi hcho nasoma chuo siku hyo kikaniambia "yaan mimi sijawah kutongozwa na mwanachuo naona kama bahati" nilimshangaa sana anyway kuna siku natoka zangu chuo napita mtaani nakiona kimekumbatiwa na mshkaji flani kama teja teja hiv nikapita ye hakuniona. Kama dk 40 hv kikaja geto nikakauliza ulikumbatiwa na nani pale..?? Kakashtuka balaa palepale nikaenda kufungua mlango bila kuongea nikamuonesha njia ya kutoka toka apo sikuwah kupokea simu wala kujibu txt ya kile kimanzi na ndo ikawa mwisho wangu kutongoza videmu vya uswahilini na vilivyokimbia shule.
 
Bora Huyo wa pili.
Huyo wa kwanza bora nife sina mwanaume
 
Ati uko jela[emoji1787][emoji1787]
 
Khaa yaani anajifanyia maamuzi yake kwa kutegemea mfuko wa mtu mwingine??

Yeah it’s the biggest challenge that most of us African Men facing, lucky you if you can understand

Na hata hayuko polite wala kutumia lugha yenye ushawishi as if she earned it,

nilikuwa na jamaa yangu kutoka Benin alikuwa na mwanamke wake from Russia ananisimulia

Anadai Binti wa kirussia alikuwa so independent inafika kipindi anafanya zake job anatafuta nauli lengo Tu akakutane na Mpenzi wake, and she was doing for love na jamaa akawa ananiambia yeye alikuwa anajihisi Fahari hata kumpa zawadi na kumfanyia mambo mengine out of love

Lakini mifumo yetu ya kiafrika baadhi ya wanawake ndiyo inawalemaza na kuwadidimiza shimoni kabisa.
 
hili wengi tumeshakutana nalo.
niliparamiaga mmoja hivi anapiga vizinga vidogo vidogo me nikawa natoa hata sizingatii sana, heee kumbe ananiona bwege eti.
 
Kwa hili la mfumo ni pande zote mbili mkuu kuna wanawake wanajielewa sana na wako very independent, shida inakuja ukiwa hivyo ndio mwanaume anabweteka, na kukuona kama uko desperate sana na ikitokea hata mmeingia kwenye ndoa majukumu yote ya familia anakuachia, huku hela zake anatumia na kina mwajuma ndala ndufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…