Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa eti ma X zako... Uuh inabidi upunguze ikibidi uache, binafsi kwangu mimi hiyo ni homa kwa sabu sina vichambo hua napenda kuzungumza taratibu hata kama mtu amenikwaza sasa ikitokea mtu akinichamba wima naona kama ananipigia kelele alafu nakasirika sana kiasi kwamba inakua ngumu kuelewa kosa naona kama tuko kwenye kigodoro sijui yani sijui nakuaje na hutasikia nikikujibu ni kimya, utanichamba weeee mi kimya yani kimya, ila ukizungumza taratibu na nikaelewa kosa naomba msamaha wa dhati na juhudi za kujirekebisa,jamani karena mbona leo wewe na SweetieLee naona kama ni ma X zangu
mimi nachamba jamani,sijui kanifundisha nani aseeee Niombeeeni
Hahahaaa tuseme una maneno ya shombo si ndiohapana sio vuvuzela ila nina maneno flani nikikwambia yanakuingia mpk kwenye DAMU
Kuna mmoja huyu Juzi Juzi nimeona niachane nae maana niliona Safari ya kuanzia Mtoni kwa azizi ally mpaka Mbagala Tu haiwezekani
Kisa kiko hivi beibe nimeichoka IPhone yangu 7+ nataka XR, nikamwambia Mfuko wangu unaweza ku Afford 8+ hiyo XR siwezi si kwamba sina ila siwezi weka bajeti huko kwenye mambo ya fashion na luxury ambazo Kimsingi hazina mwisho na kila siku zinatoka mpya
Majibu yake sasa ooooho hauwezi kunipangia choice unayotaka wewe mimi natumia brand ninayotaka Mimi, nikajisemea Dooh hapa gari haiwezi kufika Safari nikashuka njiani
Nb; Sikulalamika nikamuacha na Maisha yake, Jaribu kumbadilisha mwenzi wako ukiona haiwezekani Walk away Don’t kill yourself [emoji120]
hapana aisee, nyie oeni tuutaweza kweli mkuuu?
Kadiri unavyoendelea kujiburudiaha ndivyo unavyozidi kujitoa kwnye vifungo, as unaenda kanisani kaa vizuri na Mungu mwambie ninahitaji ubavu wangu ninauomba, uwe mwaminifu kwake atakupa wa kufanana naemuda wa kujiburudisha huwa ni mchache
hamna anaependa kujiburudisha kwenye miili ya wadada kila leo
labda ziro aikyuuu ila wengine sisi tuna wish kama Lait angepatikana mmoja tu halafu tuendane Daaah
Amri 10 unaziona chache eee,ila usiombe kujaribu zifatisha kwenye matendo,unaeza jihisi uko JELA (Gwantanamooo)
Bora Huyo wa pili.CONTROLA naomba usinikumbushe, niliwahi date mwanaume ana maneno huyo..!!
Yaani ukikosea usiombe vichambo vyake utajuta!! anakuchamba mpaka unahisi uchizi, vile ukijishusha kuomba radhi ndo kama unachochea moto wa kuchambwa, na vile I hate offensive words niliondoka kimya kimya hata sikuaga.! Mpaka Leo I can't date mtu wa kunitukana hata kidogo maana hiyo ni ticket ya one way to the 'delete button'..!!
Mwingine huyo alikuwa ana wivu huu wangu hauoni ndani, in fact huu ukasome, let say mnaongea ukamuambia I got to do something, anakuambia how long will it take? unajibu only 10 minutes sababu nataka kukosha vyombo, After a while anapiga, unajibu umemaliza ila unadeki, haha' utajuta unaambiwa ulisema tu vyombo hukusema kama kuna kudeki.!! Hapo ujue kashamaindi muda sana, yakanifika haaaapa.!! Jamani nilikimbia speed mfanowe hakuna.!!
Pole mkuume alikuwa hana tabia ya kusema asante yaani haonyeshi uthamini hata kidogo. Ukimletea hichi atakwambia mbona hukuleta na kile.
halafu nina bahati mbaya na wanawake wa hivi sijui wote ndivyo walivyo?
SweetieLee kumbe watu mna mapito yenu ya kimya kimya
pole sanaaaa
huyo jamaa ako wa kwanza sikua mimi kweli jamani
maana nimejirekebisha hata wiki sina,na hayo malamiko ndio yale yale yaniiii
Ati uko jela[emoji1787][emoji1787]muda wa kujiburudisha huwa ni mchache
hamna anaependa kujiburudisha kwenye miili ya wadada kila leo
labda ziro aikyuuu ila wengine sisi tuna wish kama Lait angepatikana mmoja tu halafu tuendane Daaah
Amri 10 unaziona chache eee,ila usiombe kujaribu zifatisha kwenye matendo,unaeza jihisi uko JELA (Gwantanamooo)
Khaa yaani anajifanyia maamuzi yake kwa kutegemea mfuko wa mtu mwingine??
hili wengi tumeshakutana nalo.Kuna mmoja huyo alikuwa ni vizinga tu mwanzo nilikuwa nampa kama anavyotaka nikihisi ataona aibu kwa vizinga vya kila mara.
Kadri navyo mpa ndivyo anaongeza moto walahi nilikimbia mahusiano.
Walahi yule alikuwa hana aibu si kwa vizinga vile karibia kila siku.
Hata papuchi sikugusa maana sikutaka aseme nimechakata papuchi ndio nimekimbia.
Nilikimbia kiroho safi ila si kwa vizinga vile.
Kwa hili la mfumo ni pande zote mbili mkuu kuna wanawake wanajielewa sana na wako very independent, shida inakuja ukiwa hivyo ndio mwanaume anabweteka, na kukuona kama uko desperate sana na ikitokea hata mmeingia kwenye ndoa majukumu yote ya familia anakuachia, huku hela zake anatumia na kina mwajuma ndala ndufu.Yeah it’s the biggest challenge that most of us African Men facing, lucky you if you can understand
Na hata hayuko polite wala kutumia lugha yenye ushawishi as if she earned it,
nilikuwa na jamaa yangu kutoka Benin alikuwa na mwanamke wake from Russia ananisimulia
Anadai Binti wa kirussia alikuwa so independent inafika kipindi anafanya zake job anatafuta nauli lengo Tu akakutane na Mpenzi wake, and she was doing for love na jamaa akawa ananiambia yeye alikuwa anajihisi Fahari hata kumpa zawadi na kumfanyia mambo mengine out of love
Lakini mifumo yetu ya kiafrika baadhi ya wanawake ndiyo inawalemaza na kuwadidimiza shimoni kabisa.