Umeshawahi kufanya tukio gani la kukumbuka katika mahusiano

Umeshawahi kufanya tukio gani la kukumbuka katika mahusiano

Arsis

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2024
Posts
1,696
Reaction score
6,097
Kwa kuwa mimi ni wa koo ya simba, inakua ngumu sana kuelezea tukio (adventure), kwani nikitazama koo za simba inakua kila tunachokifanya kuhusu mahusiano ni tukio (adventure) kwa wengine.

Kuanzia makuzi yetu mpaka tunapokua kwenye umri wa kuoa / kuolewa kwa wengine, ambao sio wa koo za simba, inaweza kua ni kituko cha kushangaza na kustajaabisha lakini kwa koo za simba ni kitu cha kawaida.

Licha ya kua koo za simba tuko na uwazi sana katika mahusiano ya simba kwa simba wengine, lakini hutokea hata sisi wenyewe hufanya tukio au matukio ambayo huwa ni tukio (adventure) kituko cha kukumbukwa. Vipo visa vingi sana, lakini leo naanza na kimoja.

Nimewahi kujamiiana na wahudumu wa ndege, mara sita, katika maisha yangu, mawili tukiwa angani. Mengine tukiwa ardhini lakini yote yalitokana na tukio la angani.

Kwa ufupi nilijamiiana na mhudumu wa Gulf Air nikitokea Dubai kuja Tanzania. Mhudumu huyo alikua amefanana sana na mtu wa karibu ninae mfahamu, ikabidi nimwabie, akaniuliza anaitwa nani, nikamtajia.

Akanambia huyo ni rafiki yangu mpenzi, tumesoma pamoja Nairobi. Kumuelezea nilivyo nae huyo mtu wangu wa karibu, hapo hapo nikawa "uograded" kutokea economy class kwenda kukaa Business class.

Huko ndipo nilipomla, huku nikiwa nimekaa juu ya kiti, ikawa nimeingia rasmi na ndio nikaelewa kuna kitu kinatwa "mile high club". Mchezo ulichukua kama dakika 15 tu, tukaja kuumalizia Dar, enzi hizo Sheraton ndio walikua wanalala wahudumu wa Gulf Air.

Mengine baadae.
 
Nilimnunulia demu wangu smart phone ya 350,000 huku Mimi natumia kitururu mwisho wa siku akanipiga chini et sina swagazs. Maisha haya ndo maana nimeacha kushobokea mapenzi nipo kama sipo
 
2) Kisa kingine cha kujamiiana na wahudumu wa ndege, kilitokea kwa huyu Binti wa Kinairobi ambae kwa sasa anaishi Dubai, kaolewa na mzungu.

Siku niliokwenda kumla Sheraton, alimuhadithia mwenzake, ambae kwa mujibu wa huyu binti nae ni katika koo za simba za India huko. Akaniulizz ampe namba zangu siku akija Tanzaia awe na mwenyeji na akutane na koo zingine za simba. Nikamwabia poa tu.

Ikapita kama miezi miwili mitatu, siku hiyo nikapigiwa simu lakini namba haioneshi. Nilipopokea akanisalimia na hapo hapo bila kuchelewa akanitajia jina la yule binti wa Kikenya akanipa na signal ya koo za simba nikamuelewa. Akanieleza kuwa yupo Gulf Air kaingia leo na hana muda, kesho kutwa anaondoka, anataka kuniona na tutoke nikamuoneshe jiji la Dar. Akanambia ananikaribisha chakula cha usiku, saa moja kamili, Sea Breeze. Nikamwabia Gulf air si mnafikia Sheraton, akasema wale wenye ndege siku ya pili wanafikia Sherato, wanaokaa zaidi ya siku mbili wanafikia Sea Breeze.

Nikamwambia nitafika hapo nusu saa kabla ya chakula, akasema poa, na yupo na wenzake wawili, lakini hawa sio wa koo za simba. Hii ni kawaida ya koo za siba kutambulishana kabisa kama tunaokutana nao au kua nao watakua wa koo za simba au tofauti.

Nikafika kama nilivyoahidi, sikuamini amcho yangu, watoto wawili wa kihindi, mmoja ni muhindi wa Kenya anajua Kiswahili, yule simba alikua hajui Kiswahili. Na mmoja mtoto wa Kiomani ambae kwanza alijifanya hajui Kiswahili, wine zilipomkolea mwenyewe akaanza kuongea Kiswahili.

Tukapanga na yule simba wa kidosi, tutoke out, mradi ninaetoka nao nijiandikishe kwenye front desk ya hotel. akanijulish wao leo wanaweza kutoka mpaka kesho, ndio maana wanakaa seabreeze, wakikaa Sheraton hawaruhusiwi kutoka nje ya Hotel.

Tukala pale, tulipomaliza nikajiandikisha, nikaondoka nao, ilikua kama saa nne z usiku, nikawauliza, tunarudi au haturudi? Akanambia mimi sirudi, hawa wenzangu ukiweza kuwa convince na wao wasirudi itakua vizuri, hawatujui simba hawa.

Nikamwambia, subiri kuna mtu nitampigia simu ataongea lugha yao, wote watataka kubaki. Nikampigia kijana, mmoja ambae ni rafiki yangu, huyu sio simba lakini ni mtu wa masafari ya duniani na ana contacts nyingi sana duniani. Akanambia poa, tukutane nitajiunga na nyinyi. Tukakutana nae mjini Dar, kabla ya kwenda disco. Akaingia kwenye gari langu, nilimpitia kwake.

Tukatoka zetu mpaka disvo, haikupita hata nusu saa, wale mabinti wakwa wamemzowea utafikiri wanajuana nae miaka. Ikawa ni furaha na vicheko. Mimi na toto la kidosi, tukawambia tunatoka kidogo nampeleka sehemu yule mwenzao, yule muhindi Mkenya akasema, sema kweli tu, unakwenda kumla. Namuona alivyoregea. Tukacheka, tukatoka na toto la kihindi. Hapo ikawa hakuna story tena, nikaenda kumla, akgoma kurudi disco, akasema mpigie yule rafiki yako yeye afanye maarifa yoyote kama atatoka nao kwenda kulala nao, lakini leo wasitufate hapa. Kumpigia simu mwenzangu nikashangaa simu ikapokelewa mara moja tu, kuongea nae akanambia na wao wameshaondoka disco nisiwe na wasiwasi anaelekea nao nyumbani kwake.

Yaliobaki, sote ni watu wazima tumeshajua kilichotokea.
 
3. Nilliwahi kula ndani ya basi, nilikua nasafiri kutokea Dar kulekea Mwanza.

Baada ya kupiga story na binti, akaja kuukalia mwenyewe mpaka ukajaa. Ilikua usiku.

Tukio hili silisahau. Binti alikua na mwenzake, na mwenzake akataka, mimi nikagoma. Maana hiyo hofu nilikua nayo hata hicho kimoja kilichukua masaa, mpaka nikawa hoi kabisa. Nikaagana nao tutakutana Mwanza, tulivyoshuka nikawahepa sijaonana nao tena.
 
Ukishaanza habari za koo za simba tu naku ignore
Lazima ufanye hivyo kwa kua koo za simba zimekuzidi kwa kila kitu. Sio Tanzania hii tu, dunia nzima.

Una kipi kimoja cha kujilinganisha na koo za simba?
 
Mmenizidi uchawi tu na umalaya
Uchawi hapana, sisi wachawi wanatuogopa. Sana tena sana.

Umalaya labda ingawa sifahamu wewe unamaanisha nini kwa umalaya.

Simba hatutembei na wasio simba au marafiki wa simba. Kujamiina ni jambo moja kuu linalotuunganisha koo za simba. Tunashikana kama gundi kwa kujamiiana, ndio maana koo za simba tumeungana na tunajuana dunia nzima. Kujamiiana si lazima kwa asietaka.
 
3. Nilliwahi kula ndani ya basi, nilikua nasafiri kutokea Dar kulekea Mwanza.

Baada ya kupiga story na binti, akaja kuukalia mwenyewe mpaka ukajaa. Ilikua usiku.

Tukio hili silisahau. Binti alikua na mwenzake, na mwenzake akataka, mimi nikagoma. Maana hiyo hofu nilikua nayo hata hicho kimoja kilichukua masaa, mpaka nikawa hoi kabisa. Nikaagana nao tutakutana Mwanza, tulivyoshuka nikawahepa sijaonana nao tena.
Na wao walikuwa koo za simba?
 
3. Nilliwahi kula ndani ya basi, nilikua nasafiri kutokea Dar kulekea Mwanza.

Baada ya kupiga story na binti, akaja kuukalia mwenyewe mpaka ukajaa. Ilikua usiku.

Tukio hili silisahau. Binti alikua na mwenzake, na mwenzake akataka, mimi nikagoma. Maana hiyo hofu nilikua nayo hata hicho kimoja kilichukua masaa, mpaka nikawa hoi kabisa. Nikaagana nao tutakutana Mwanza, tulivyoshuka nikawahepa sijaonana nao tena.
Hukupata ukimwi!?
 
Back
Top Bottom