Umeshawahi kujiuliza wewe ni nani?

Umeshawahi kujiuliza wewe ni nani?

Mkuu hali ii ishanikuta ata mm katika age flan ivi kam yako.
Najikuta nastuka ucngizn zen naanza kuwaza San kutok uhai mpk kifo zen roho inaniuma San nikifik kweny kifo kwan nawaz ctawez kuwaona hawa wote ninao wafhm,dah ndo kimbembe nafikia hadi kupiga makelel .ila cku izi mbona fresh tu coz somtaim nataman ata kfa
Hahahaaaa
Mkuu umenifurahisha sana.
 
Hahahaaaa
Mkuu umenifurahisha sana.
Ukiwa mdogo unawez mkufuru mungu kwann kawek kifo ila ukikua unajua nin maan ya kifo.
Somtaim shida zinazidi mpak unataman ushuke ii Dunia upande ata sayar zingine
 
Ukiwa mdogo unawez mkufuru mungu kwann kawek kifo ila ukikua unajua nin maan ya kifo.
Somtaim shida zinazidi mpak unataman ushuke ii Dunia upande ata sayar zingine
Hahahaaaa ni kweli mkuu.
 
Ila wwe jamaa nimekuelewa sna ila ssa idea kama hizi unaweza ukaja ukatafsiri vitu vingine ukawa unajiukumu mwenyewe au wengine ila 9/10 mwache mungu aitwe mungu
 
Hiyo ni Yoga meditation steps.
Naona wameshamchanganya huyu. Nimetembelea mataifa mengi yanayofanya hiyo kitu naona wao wanafanya na Budha akiwa mbele.
Hata hapa hotelini Champ De lamar, Port Luis, Mauritis naona sanamu ya Budha.
Kwa hiyo wewe ni Nani?
 
Ni kweli wewe kama ni wewe, lakini tambua kuwa kuna Oneness katika ulimwengu. Wewe ni mimi na mimi ni wewe lakini at the same time I Am That I am. Unapomkosea mwanadamu mwenzio unakuwa hujamkosea yeye bali umejikosea wewe kwani yeye ni sehemu yako wewe. Unavyoona kila mtu yuko kivyake kama wewe ni Illusion/Uongo/Mtihani. Ndio maana tunafundishwa mtendee mwenzio ambacho unapenda utendewe, kwa sababu unajitendea wewe. Unaposaidia mtu unajisaidia wewe, unapomuumiza mtu unajiumiza wewe bila kujua. Utakuja kujua
baada ya maisha yako umuhimu wake lakini kwa sasa ni kama mtihani kwako.

Hivyo inakupasa kuepuka ubinafsi.
Kwa hiyo hapa katika kumtendea mwenzako jambo usilolipenda, ndo maana kuna ile sheria ya jambo kuja kukurudia, bila kujali ulitenda uzuri ama uovu........? na je inaweza kuwa(karma) ndo njia sahihi ya kutufunza kwa kuwa ipo katika maisha ya kifizikia na maisha yasiyoshikika????
 
Back
Top Bottom