Apn hua sijikunji kwenye kulala ila ilikuwa km naona kitu kinashuka kutoka juu ya paa kikifika tu mwili mzima unakufa ganziUnalala umejikunja kama paka damu haipiti vizuri miguu unakuta ganzi ubongo unatoa taarifa ya hatari kutengeneza ndoto mbaya ili ushtuke alafu wewe unasingizia jinamizi
Hivi huo ubongo umejifunzia matukio ya kutisha😅Hapo mara nyingi ubongo hutafuta matukio ya kutisha ili kukuamsha na ndo unachtuka unajikuta unaanza kuhema kwa haraka haraka ili kurudisha oxygen ilokuwa imepungua.
🤣🤣🤣Unatumia godoro gani mkuu
Apunguze kula kula kula ngano sio😄Hakuna Cha jinamizi ni mavyakula magumu mnayokula wakt wa kwenda kulala, wew unakula ugali kisado tena Dona na maharage alafu unaenda kulala unategemea nn
Pole mkuu, na Bado haujawataja kunguniNikiwa shule x vigodoro ya form six huvijui