Umeshawahi kukabwa na jinamizi usiku ukiwa usingizini?

IPO ila technically sleep paralysis unatokana mwili kufa ganzi unapolala na unashindwa kuamka na haisababishwi na ulalaji mbovu
 
Sio jinamizi sema umelala chali ulimi ukadumbukia kwenye njia ya hewa ukiwa usingizini hivyo ukajikuta unajiokoa kwa kukosa oksijeni 🤣🤣🤣
Nilahisi tu lala chari weka mikono kifuani fumbamacho dk 20 Nakuja kukujinamizi
 
Jinamizi sio jini au pepo wala sio lidude fulani. Nii hali tu ya kuwa kwenye ndoto ya kutisha na ambapo mwili unakuwa kama hauna coordination. Unakuwa umepata kitu wanaita sleep paralysis.
 
Nilahisi tu lala chari weka mikono kifuani fumbamacho dk 20 Nakuja kukujinamizi
Ukilala chali usingizi ukianza tu njia ya hewa inapata shida. Sasa wakati mwili unaanza kujiokoa kwa kutafuta hewa, ubongo unatafsiri kwamba umekabwa ndio maana hata kuamka kwako unajikuta unahisi kama kukabwa huku unajitahidi kujiokoa kumbe ni jambo la kisayansi tue... Nawafundisha leo na sitorudia 😄
 
Unajua Yale yana Liaga usiku hadi mbwa huwa wanabweka kwa shida
 
Acha kulala vibaya hakuna cha jinamizi hapo .
 
Ukilala chali lazima ulimi uzibe matundu ya hewa,japo wachawi huzipa pua kwa vidole wakuone unavyohaha, hakuna jinamizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…