Desierto
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 901
- 3,112
Inatokeaga unauza kitu chako aidha kwa sababu ya shida au vyovyote vile. ukaletewa hela kisha ukaiona ndogo ukataka kubwa zaidi lakini baada ya muda unauza bei ndogo kuliko ya mwanzo uliyepewa na mnunuaji wa kwanza ukakataa.
Nakumbuka kuna siku nikuwa nasafiri kwa baiskeli njia ya Itigi kuelekea Tabora nikafika mahali nikaona baiskeli mzigo nikatafuta mteja wa kwanza akaniambia 40 nikakataa nikatembea mpaka sehemu wanaita Itula nikapata mteja akaniambia ananipa 25, dah kwasababu nilishachoka na kuvurugwa nikauza kwa 23 buku mbili wakala ofisi ya mtendaji😁.