Umeshawahi kukataa kuuza kitu kwa bei kubwa baadae ukauza bei ndogo zaidi

... ni jambo la kawaida katika biashara maana bei, wakati mwingine, hupangwa na haraka ya muuzaji!
 
nakumbuka sim yang ya 1, tecno W5 lite nilipewaga 50k nikakataa, mwez haukuisha ilikufa baada ya kumwagiwa maji kwa processor na nisiyemjua πŸ™ˆ
 
Baada ya kuuza baiskeli,ulitembea kwa miguu au ulipanda bus?
 
Kuna jamaa nilimpa lift, akaipenda gari yangu anasema nimuachie kwa 10m. Nikaishia kumcheka tu. Miezi mitatu baadae nikaona niuze maana kumiliki gari 2 ni kazi. Kuiweka sokoni nikaambulia 7m na 1m akachukua dalali
 
Yaani mkuu labda Kwa mtu mwenye uhitaji. Lakini Kwa hiyo bei hata Mimi siwezi. Hapo labda ungetafuta mtu anayehitaji, ambayo itakuchukua muda
kuna kitu lazima watu wakijue kitu used mfano dukani kinauzwa laki nnane kipya halafu wewe umekitumia unataka uuze laki 7. hii haiwezekani mtu mwenye uwezo wa kununua kitu laki 7 used wakati kipya ni laki 8 hawezi shindwa laki akachukue kipya dukani

hivo basi hapo bei ya used lazima iwe laki 350000 labda mnunuaji akutafute wewe hapo unauza hata laki 9πŸ˜„
 
HONGERA Seran kwa kuwa na majobs ya kutosha kwa wanafamilia.Endeleq hivohivo. Ngoja na mimi nitakuomba msaada wa kazi.
Mungu akubariki
 
Unaweza ukakutana na sponsa akakuomba kinyeo kwa laki mbili ukagoma ukataka BiRioni tatu nukta sita nane.

Baadaye unakutana na kidampa muuza nyanya hakupi hata aftatu lakini anakutifua mpaka basi.
Ww jamaa una mambo ya kiwaki na ******* sana.
 
Hah mkuu hii ni mpya,kitu cha miezi 4 kinakuwa kimechakaa? Come-on mkuu!
Anyway, usiwaze.Tufunge mjadala
Yaani mkuu nakupa uhalisia, biashara ndo zilivyo, tukienda Kwa dalali hapo anakwambia laki na nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…