Umeshawahi kulala/sex na mtu kwa kuwakomesha au kumkomesha mtu fulani

Umeshawahi kulala/sex na mtu kwa kuwakomesha au kumkomesha mtu fulani

😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣niache shimo nililonalo hutalimudu kamwe
Mi mwenyewe nna mkuyenge mkubwa usijali tutafit tu ma mtu..!! 😋
Sema basi bebi gero.

Pesa ipo nishavuna mahindi unahitajika wewe tu kuipangia bajeti laaziz..!! 😻

Weekend nataka unisindikize ukanitembeze town, si unajua mimi mgeni Dar.
 
Mi mwenyewe nna mkuyenge mkubwa usijali tutafit tu ma mtu..!! 😋
Sema basi bebi gero.

Pesa ipo nishavuna mahindi unahitajika wewe tu kuipangia bajeti laaziz..!! 😻

Weekend nataka unisindikize ukanitembeze town, si unajua mimi mgeni Dar.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣eti mahindi,,ni kunya pumba tu hapo itakua,,Lima hata viazi nawewe tule chipusi kumbe ndoosa
 
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣niache shimo nililonalo hutalimudu kamwe
Kuna style hiyo moja Atari...

Mahusis Kwa wenye vibamia Vs akasombo hydro electrics dam
 
Rangi ya asili ni asili, tu Kuna hawa weupe wetu wa kawaida ambao hawajajigusa na vipako utakuta K zao rangi ya kawaida tu ila sio nyeupe, wengine ni nyeupe na wengine ni Pink

Ila Kuna hawa waliojikongomeka sasa K zao zinatisha zinakuwa kama Zina usugu, tena kwe pachu pachu sasa dah😔😔😔
Mwishoe watu waanze kujikrimu na huko chini!
Ridhikeni tu jamani hayo ndio maumbile yao
 
Salaam/shaloom

Mwanangu mmoja aliniomba nimsindikize pahala fulani so tukafika akanambia tuingie ndani tukaingia tukakalibishwa misosi mingi baada yake joto kali nikaomba nitoke nje nipunge upepo nikawaacha ndani wahusika .. nikatoka nje hapo nje nikakaa zangu kibarazani naperuzi peruz jf

Nyumba ya pili kuna jamaa akaja akaanza kuniuliza why nimekaa pale, nikampa maelezo kama ya hapo juu, mwamba akawa ananigasi gas kwa maswali nikamwambia nimechoka kujibu maswali, baadae nikagundua ni mwanajesh mwenye mafunzo ila hajapata ajira , katika mabishano wakaja wadada wawili makamo ya miaka 20 mwingine 22 , kaka yao huyo jamaa

Wakawa wanamsihi aniache kwani sina kosa, nikamtumia sms rafik yangu akatoka ndani na ndugu zake, kikanuka palee mwanangu hajapoa, na ile familia ilaanza kuomba radhi, mama yake jamaa mkorofi na dada zake, wakaomba radhi jamaa yeye alikuwa ametilia mkazo tu nitoke palee na sio kwao kabsa

Wakamtoa jamaa, mama yake akaondoka wakabaki wale wadada kuniomba radhi, aisee ni pisi za hatari aisee nilipagawa, tukabadilishana namba, nikasema hapa nitamkomesha jamaa kupitia hawa dada zake

Kweli bwanah siku zikawa zinasogea tukawa kama kawaida yetu , tunaenda kuwavist palee ndugu zake jamaa na mimi huwa kama kawaida nikipiga menyu natoka zangu nje, nikitoka nje tu vibinti vinakuja napiga navyo story, jamaa akipita ananitolea macho tu

Nikakitongoza kidogo kile cha miaka 20, kakanambia dada amekupenda kwani hajakwambia aisee nikasema sasa napiga wote hawa warembo, nikawa namng’ang’ania kwamba mimi nimekupenda wewe, naomba ruhsa yako niwe mpenzi wako akawa anamuogopa dada yake, huo ndio ukawa mchezo simu nyingi na sms za kumbembeleza mwisho akakubali akanambia ila dada asijue maana alinambia kuwa amekupenda sana anakutafutia tu target akwambie

Bila kuchelewa nikakivuta kidogo maskani, nikala mzigo aisee, nilifanya kumkomesha tu jamaa huwa sikuwapenda ila nilipata watoto wazuri, wasafi na raini hatari aisee so nikawa napiga huyo mdogo kwa siri sana aisee na yeye pia alikuwa anasisitiza hatak kumvunjia heshima dada yake so tufanye asijue, niliburuza sana

Baadae dada yake aliomba kuja kunitembelea maskani nikamwambia uzuri mje wote na mdogo wako, akanambia ni binafs siku tutakuja wote kwa pamoja ila kwa sasa naomba nije peke yangu, nilikuwa nashangaa tu nikaona hawa warembo kama walikuwa wanataka wanilipe kwa kile alichonikosea kaka yao daaaah

Kikaja mida ya saa kumi, kama kawaida nikamuwekea muvi za romantik, mezani korosho, karanga, chocolate na vijimatunda, mda kidogo nikaoda chakula bila kumtaarifu, chips kuku yake na soseji na yai pembeni mimi nikaagiza chips yai na mishkaki…

Aisee mtoto akanambia upo romantik sana aisee umejua napenda nini? Nikamwambia usijal nipo kwa ajili yake, baada ya kula mtoto akasema anahisi joto anataka akaoge, nipo self containa hapo choo ndani, nikamwambia unaweza ukaoga, sijui alikuwa ananipima mtoto kama naweza nikala mzigo kimshala

Akavua nguo pale pale mbele yangu na kubaki na pichu tu na akaniomba taulo, aisee hatari nikaanza kumsifia alivyoumbika aisee nikamstopisha kuonga nikamsogeza kwenye kioo kikubwa nikaanza kumsifia alivyopendeza, mwanaume mwaga sifa mwaga sifa, mtoto akaanza kucheka, yaani alikuwa kama ameonja mvinyo kidogo

Mtoto fulani hivi mweupe sana kama anataka awe shombe shombe hivi alaf sio, shape figure namba nane, mrefu wa wastani, nyuma mzigo, mashaallah aisee, tumbo limejikata, nywele katibua yaani kabana ila ndani alitoa kibanio, macho yake kama dizain kaweka lens ila ndivyo yalivyo, nomaa.. vuta picha aisee

pale pale kwenye kioo , baada ya sifa kem kem mtoto akanilalia kifuani, huku akijichekesha akanambia sikufikiria kama upo romantik kiasi hich, mimi nilijua utakuwa kauzu jins nilivyokuona unavyokolomeana na kaka siku zilee , nikamwambia usijal

Nacheka huku naogopa, nikaingiza mkono kwenye kamba ya pichu, mtoto akatulia, nikazifuta lips zake na mdogo, naona mtoto macho yamebadilika, aaa nikasema kumbe amejipanga , nikaanza mabalaa ya kiutu uzima

Mtoto raini iasee siponchi aiiingii ndani duuuh, nikamnyoosha ipasavyo, ndio tukaenda kuoga baada ya kwenda kuoga peke yake, show ikaendelea baada ya kutoka kuoga, nikajisemea hapa nimemkomesha jamaa na nimeridhika, mchezo ukawa huo nawapa zamu tu wadogo zake kaka mwanajeshi ambaye hana ajira

Ikatokea mdogo akaenda chuo, na mkubwa akasafiri nje, nikapoteza mawasiliano nao nikajua kweli wale walitaka waniliwaze kutokana mimi kuingia mkanganyiko na kaka yao, na Mimi nikasema nimemkomesha jamaa nimeridhika

Baadae jamaa akapata ajira na akawa rafiki yangu, nashindwa kumuulizia kuhusu wadogo zake aisee

Wikiendi njema
watoto wa form 6 fantasy zitawaua
 
Nyie vijana wa 2000 ******* sana, mnaliwa nyie mnadhan mmekomoa kumbe mmekomolewa kuliwa pesa nguvu na kupewa maukimwi
 
😹😂😂😂😂mi nitakuigizia,,hakuna style inanimudu
Hahah watu tuna hints zote za kujua hapa naigiziwa au huyu anainjoy mtalimbo...

Mrs R ni rahisi saana kuwajua waigizaji

Ukitaka kuwajua chakwanza stop gafla utaona reaction

Utapata picha
 
Hahah watu tuna hints zote za kujua hapa naigiziwa au huyu anainjoy mtalimbo...

Mrs R ni rahisi saana kuwajua waigizaji

Ukitaka kuwajua chakwanza stop gafla utaona reaction

Utapata picha
weeee nasi tumejua mbinu zenu


ila niache ubishi ile kitu ikiwa utamu huwezi igiza kabisa
 
Back
Top Bottom