Umeshawahi kumla kimasihara mwanamke wa rafiki yako

Swadakta! Marafiki wengi ni wanafiki tu, na ndio maana wengine hawapendi mambo ya urafiki.
Kweli mkuu mimi nina rafiki zangu wengi wamemtongoza shemeji yao ilihali mimi nawaheshimu wapenzi wao. Kutokana na hii nimepunguza marafiki na nilionao siwaamini kihivyo.
 
Kweli mkuu mimi nina rafiki zangu wengi wamemtongoza shemeji yao ilihali mimi nawaheshimu wapenzi wao. Kutokana na hii nimepunguza marafiki na nilionao siwaamini kihivyo.
Safi, rafiki wa kweli hawezi kuendekeza tamaa kwa shemeji yake, kwa kisingizio eti kuwa hawezi kujizuia(ni uongo na kujiendekeza tu). Marafiki wa kweli wapo ila wachache mno.
 
Hivi marafiki ambao mmezoeana unawapunguzaje? Kwa njia ipi?
Ukimgundua rafiki hafai, usitengeneze ugomvi. Punguza mazoea polepole, kama mlikuwa mnaonana sana anza kutengeneza sababu mbalimbali kuwakwepa mf. upo busy.
Baada ya hapo wataanza kujenga maisha mapya bila wewe.
Vilevile kwenye maongezi unapunguza kuongea mipango yako muhimu, yaani unazungumza mazungumzo ya msingi ambayo hata stranger utaweza kuzungumza naye. Wengi wao hujishtukia katika stage hii na kuanza kukukwepa.
 
Hahahahahaha huwa unanifurahisha sana ukitumia hayo matusi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Evelyn Salt na Nakadori pitieni mtaa huu. 😜😜😜
 
Dah, ni ngumu lakini. Nahisi hata wapenzi nao hutumia njia hii kuachana.
Kwenye maisha inapofika wakati wa maamuzi magumu usiangalie nyuma. Ukiona upo na rafiki hakuheshimu, usipoteze muda kujaribu ku entertain urafiki ambao hauna faida, urafiki mzuri ni zaidi ya undugu lakini mpaka rafiki anamtamani shemejio huyo ni zaidi ya adui.
 
Ukishakuwa mtu mzima huwezi kuwa na marafiki wale wakuzoeana na shemeji yao, huwa kuna mipaka ya asili baina ya wanaume watu wazima. Labda kama humu wote ni masela, ila watu wazima urafiki ni kwenye miradi, fursa, bar na kwenye vyama vya kushirikiana kama saccos. Ukiona rafiki katembea na mke wa mtu mzima rafiki yake labda ilitokea walizoeana nje ya mume na sio kupitia mume.
 
Utafirwa bila kilainishi
 
Kweli mkuu mimi nina rafiki zangu wengi wamemtongoza shemeji yao ilihali mimi nawaheshimu wapenzi wao. Kutokana na hii nimepunguza marafiki na nilionao siwaamini kihivyo.
nna rafiki angu alimpa code x wangu ya muda nnaorud home kutoka job ili aje anikute nlikuwa namkwepa, hakuishia apo akamwomba waonane daaah...NLIJUAJE ? Kishukuriwe kitombo nlichokuwa namtembezea huyu mwanadada...kanitumia audio ya maelekezo alokuwa anapewa na jamaa, NIKAMFUTA jamaa kwenye circle yangu na sijawah mwambia why,..Pac alishawah sema if somebody was your friend and becomes a hater, that means he/she was a hater from the very beginning so sio kwamba jamaa kaanza kumtaka tulivyoachana nope alikuwa anamtaka toka zamani...
 
Kwamba umalaya umekuzidi
 
Never be afraid to drop them when the time comes.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbalizi katika ubora wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…