Umeshawahi kumla shemeji yako?

Kwahiyo dogo unajiona mjaaanja wakati nilishatega cctv kitambo huoni nilianza kukata mirija ya kukupa pesa ukaishia kupauka ww ni boya sana au niweke humu clip zako unaongea ongea tuu ukijua mimi sio member humu?
Hizo clips na mkeo si ataonekana.
 
Ila sio wote ila 'extended family' ni shida hapa Africa ndo vyanzo vyamatatizo nyumbani mara mjoba binamu kaka shemeji wote citaki, wa Africa hatuna self control,....... family member nae mkaribisha bila shaka ni mama angu mzazi tu.......hata my father citaki mazoea tukutane kwenye nyumba ya ukoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…