do wat u think
JF-Expert Member
- Feb 18, 2017
- 318
- 240
ni jambo zuri ila gumu sana, lakini, akifanya hivyo ndo itakua toba ya kweli... maana ukikosea makusudi pia uwe tayari kwa adhabu yeyoteMkuu hiyo tabia haifai kabisa vizuri umejutia kosa na ikiwezekana mueleze kaka ako kishs umuombe msamaha ubaki na amani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app