Umeshawahi kumla shemeji yako?

Umeshawahi kumla shemeji yako?

Huyu ndezi ndo wale madogo ambao wamefeli life halafu unawabeba...lkn mwishowe wanakukosea aibu....utakulaje mke wa kaka yako...madogo wa namna hii unafuta nao undugu kabisa

Nakubali kumbebesha mzigo dogo. Me ningemtazama wife ktk jicho hilo hilo ninalomtazama dogo. Wife atakuwa mchafu sana!!!
 
wala hajakudanganya, mimi nina laptop toshiba satellite A20 ya mwaka 2000 inakaa na charge 2 hours na ikiwa on standby mode inakaa na charge 6 days, kwanini yeye awe amedanganya ?


Sent using Jamii Forums mobile app

Eti kwasababu sisi hatukuwa na laptop.. Ni upuuzi kumvesha mtu mwingine status yako.
 
Kwahiyo dogo unajiona mjaaanja wakati nilishatega cctv kitambo huoni nilianza kukata mirija ya kukupa pesa ukaishia kupauka ww ni boya sana au niweke humu clip zako unaongea ongea tuu ukijua mimi sio member humu?
Hizo cctv ni kiboko,zinaweza kumulika hadi gizani?(maana mdau amesema umeme ulikata)
Afu unamchimba mkwara mdogo wako wa damu?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom