Umeshawahi kumla shemeji yako?

Umeshawahi kumla shemeji yako?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23]

Sent from my SM-G950U using Tapatalk
 
We jamaa umezingua bana, na ukaona sifa uje utusimulie na uulizie kama kuna wengine washawahi kufanya hivyo pia, kwa taarifa yako hakuna mwingine humu alowahi kufanya hivo, ni wewe tu[emoji51]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe wacha kuwasemea watu... Hayupo peke yake mbona mashemeji tunawala tuu kwani shemeji mpaka awe mke wa kaka, sii ata gelofrend wa rafiki yako nae sii anahesabika kama shem.
 
Huyu jamaa hawez kua dogo atakua ni mzee saiv, kama 2003 ndo alimaliza chuo. Kwa wastan hua watu wanamaliza chuo wakiwa na miaka 24 au 25 ukiongeza 17 mpaka sasa atakua na miaka 41 sasa huyu atakua ni kubwa jinga bila shaka.
Daaah ,yaani we dogo Ni boya kichizi

Unamla shemeji yako alafu unakuja kuandika pumba zako hapa

[emoji706][emoji706]

Sent from my TECNO LB6 using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom