Umeshawahi kumla shemeji yako?

Umeshawahi kumla shemeji yako?

Mkuu hiyo tabia haifai kabisa vizuri umejutia kosa na ikiwezekana mueleze kaka ako kishs umuombe msamaha ubaki na amani

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ndezi ndo wale madogo ambao wamefeli life halafu unawabeba...lkn mwishowe wanakukosea aibu....utakulaje mke wa kaka yako...madogo wa namna hii unafuta nao undugu kabisa
 
Hakuna kitu naogopa kama shemeji yangu.Mke wa ndugu yangu like brotjer au mdogo angu.Aisee naogopa sana.Siwez kaa niwaze kumla.Nawaheshimu sana. Hata demu wa mchiz tu siwezi

Mke wa brother angu mkubwa ananikera sana. Nataman hata namba yake niifute maana anaweka status za ajab kinoma. Mara kabimua kalio, mara katia vimin. Dah huwa nasikitika sanaaa.

Ahahahahahahahahahahahah. Msile mashemeji zenu
 
Back
Top Bottom