Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Please love usije kunisaliti maanake nitakufuata popote hata kama ukienda motoni nitakuja tu.Hivi inakuwaje watu mnakulana halafu mnabaki 'kuheshimiana sana'?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ndezi ndo wale madogo ambao wamefeli life halafu unawabeba...lkn mwishowe wanakukosea aibu....utakulaje mke wa kaka yako...madogo wa namna hii unafuta nao undugu kabisaMkuu hiyo tabia haifai kabisa vizuri umejutia kosa na ikiwezekana mueleze kaka ako kishs umuombe msamaha ubaki na amani
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh bora umejiongezaTatizo love ww ni mtata mno...usije kunipiga buree baadae...
Sio heshima in such.huwa ni hofu au ku feel guilt.hakunaga kuheshimiana mkishakulana.Hivi inakuwaje watu mnakulana halafu mnabaki 'kuheshimiana sana'?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sawaSio heshima in such.huwa ni hofu au ku feel guilt.hakunaga kuheshimiana mkishakulana.