Umeshawahi kumla shemeji yako?

Umeshawahi kumla shemeji yako?

Aisee hapana....kamwe siwez kufanya huo uchafu...shetani anipitie mbali...hata kumla demu wa rafiki yangu ni mwiko...

Jamani tujifunze kujiwekea limit sio kila shimo lazima uingie..wakati mwingine huwa tunajitafutia laani sisi na familia zetu

acha ushamba wewe.
 
Shida ya JF moja tu

Zile comment tatu za mwanzo ndo huwa zina-reflect comment za uzi mzima

Basi now kila mtu ni kama hajawahi kufanya hivyo

Yaani kila mtu anaona ni boonge la kosa

Kuna fala huenda ana comment akiwa kalala na shemeji yake

Mwamba anajua alichokifanya ni kosa na anajutia kabisa na alimua kuondoka pale alipokuwa.

Hata kama utalaumu na kulaani vipi haitasaidia
 
Back
Top Bottom