Umeshawahi kumla shemeji yako?

Umeshawahi kumla shemeji yako?

Mwaka 2013, tarehe 8 mwezi wa pili ndio siku niliyomla mke wa kaka yangu kabisa. Sitakuja kuisahau.

Kaka yangu ni mtu wa safari sana, muda mwingi alikuwa hashindi nyumbani. Kipindi hicho nimemaliza chuo nipo natafuta kazi hivyo muda mwingi nilikuwa nashinda nyumbani mimi na shemeji tu. Kipindi hawana mtoto wala house girl

Shemeji alikuwa anapenda sana kuangalia movie, namimi ni mpenzi pia hivyo tulikuwa tunaangalia movie mpaka saa nane usiku.

Siku niliyomla, umeme ulikuwa umekatika mida ya saa nne usiku kwahyo nikawa naangalia zangu movie chumbani kwa Laptop yangu. Akasema kiutani shem acha uchoyo bana mbona unaangalia movie peke yako (mlango ulikuwa umerudishiwa tu, kwahyo sauti na mwanga), nikacheka nikamwambia karibu tuangalie.

Kweli shem akaja, movie naangalizia kitandani na muda chumbani hamna kiti wala meza. Tumeangalia weee, kufika saa sita tu hivi usingizi ukamchukua akalala hapo hapo. Namimi nikafunga laptop mana ilikuwa inaishia charge nikaenda toilet nikalala, japo shetani alikuwa ameshaanza kuniingia.

Usiku sikumbuki kilitokea nini tukajikuta tupo kwenye game mpaka asubuhi. Huo mchezo ulidumu kwa miezi mitatu ikabidi niombe kuondoka pale nirudi tu nyumbani, nilijua ipo siku nitafumwa na undugu utaisha.

Mpaka leo hatujawahi kurudia tena na tunaheshimiana sana, japo huwa najutia sana dhambi ile. Wewe ulishawahi kumla shemeji yako? Ilikuaje?
Hii dhambi haitakuacha salama
 
Aisee hapana, kamwe siwez kufanya huo uchafu. Shetani anipitie mbali. Hata kumla demu wa rafiki yangu ni mwiko.

Jamani tujifunze kujiwekea limit sio kila shimo lazima uingie wakati mwingine huwa tunajitafutia laani sisi na familia zetu.

Ever heard ov men code.

👏LIMITS👏
👏limits👏
👏mipaka!👏
 
MKUU sio story ni UKWELI MTUPU...kuna WATU WANA MANENO MATAMU MKWE mwenyewe KANIVULIA DERA,,,kitu chochote Kama hujawahi kukifanya au hujawahi kukisikia BASI HUWEZI KUAMINI...KWANI MAMA WA MKE WANGU SIO MWANAMKE?

Kama ni MWANAMKE Kama wengine kwanini USIAMINI KAMA ANALIWA NA MIMI? kwani ULE MSEMO WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE ULIYOKEA WAPI? kama jambo hilo haliwezekani? hivi Mimi nisingeweka wazi hapa kuna ambaye angejuwa kuwa jambo hili linawezekana?

Basi elewa LINALOSHINDIKANA KWAKO KWA MWENZAKO LINAWEZEKANA...yapo MENGI YA KUSHANGAZA HUJAWAHI KUYASIKIA HAPA DUNIANI....ELEWA NYUMBA ZETU ZINAFICHA SIRI NYINGI SN...kumbuka MWANAMKE YEYOTE ana SIFA ZA MWANAMKE...
Kama ni Uzalamoni sawa hilo siyo story

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUU sio story ni UKWELI MTUPU...kuna WATU WANA MANENO MATAMU MKWE mwenyewe KANIVULIA DERA,,,kitu chochote Kama hujawahi kukifanya au hujawahi kukisikia BASI HUWEZI KUAMINI...KWANI MAMA WA MKE WANGU SIO MWANAMKE? kama ni MWANAMKE Kama wengine kwanini USIAMINI KAMA ANALIWA NA MIMI? kwani ULE MSEMO WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE ULIYOKEA WAPI? kama jambo hilo haliwezekani? hivi Mimi nisingeweka wazi hapa kuna ambaye angejuwa kuwa jambo hili linawezekana? basi elewa LINALOSHINDIKANA KWAKO KWA MWENZAKO LINAWEZEKANA...yapo MENGI YA KUSHANGAZA HUJAWAHI KUYASIKIA HAPA DUNIANI....ELEWA NYUMBA ZETU ZINAFICHA SIRI NYINGI SN...kumbuka MWANAMKE YEYOTE ana SIFA ZA MWANAMKE...

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi kuna shida
 
Sikia ww huwez kumlazimisha mwanamke kufanya nae ngono bila kumsoma ukienda kichwa kichwa akipiga kelele ANANIBAKA utafanya nn lazima kuna ishara girl azilushe kwako ujue km anahiraji penz lako sema tu mazingira yanamzuia kujionesha km anakupenda wapo wengi tu nikiwachek tu najua ata tukibak wawili hawez kuninyima

Sasa ww nenda kichwa kichwa ndo utajua wanawake MASHETANI
Sawa mkuu ila bonge la mjanja.. Nmekuvulia kofia ww ni mjanja hasa na una akili kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUU kiumbe YEYOTE AITWAE MWANAMKE,, usimuamini na KIUMBE CHOCHOTE KIITWACHO MWANAMME... lolote linawezafanyika...kwani HUJAONA MZAZI WA KIUME ANATEMBEA NA MWANAE WA DAMU? au ANATEMBEA NA MKE WA MWANAE ?usibishe KWA KITU KINACHOWEZEKANA...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi sibashani na huo uchafu,ila nasikitika mtu mwenye akili timamu kufanya ujinga kama huo
 
Mmeelewa lakini story 2003, mwana alikua na laptop inayoweza kukaa na chaji toka saa nne mpaka saa 6, lakini pia alienda kulala chooni
Jamaa karudisha tu story nyuma ili bro wake asishtukie.. Lakn kamla mwaka jana
 
Kwa hiyo dogo unajiona mjaaanja wakati nilishatega cctv kitambo huoni nilianza kukata mirija ya kukupa pesa ukaishia kupauka ww ni boya sana au niweke humu clip zako unaongea ongea tuu ukijua mimi sio member humu?
Hiv n kwel?😂
 
I feel u bro inasikitisha sana yan
Hakuna kitu naogopa kama shemeji yangu.Mke wa ndugu yangu like brotjer au mdogo angu.Aisee naogopa sana.Siwez kaa niwaze kumla.Nawaheshimu sana. Hata demu wa mchiz tu siwezi

Mke wa brother angu mkubwa ananikera sana. Nataman hata namba yake niifute maana anaweka status za ajab kinoma. Mara kabimua kalio, mara katia vimin. Dah huwa nasikitika sanaaa.

Ahahahahahahahahahahahah. Msile mashemeji zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom