Umeshawahi kumla shemeji yako?

Hii dhambi haitakuacha salama
 
Aisee hapana, kamwe siwez kufanya huo uchafu. Shetani anipitie mbali. Hata kumla demu wa rafiki yangu ni mwiko.

Jamani tujifunze kujiwekea limit sio kila shimo lazima uingie wakati mwingine huwa tunajitafutia laani sisi na familia zetu.

Ever heard ov men code.

👏LIMITS👏
👏limits👏
👏mipaka!👏
 
MKUU sio story ni UKWELI MTUPU...kuna WATU WANA MANENO MATAMU MKWE mwenyewe KANIVULIA DERA,,,kitu chochote Kama hujawahi kukifanya au hujawahi kukisikia BASI HUWEZI KUAMINI...KWANI MAMA WA MKE WANGU SIO MWANAMKE?

Kama ni MWANAMKE Kama wengine kwanini USIAMINI KAMA ANALIWA NA MIMI? kwani ULE MSEMO WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE ULIYOKEA WAPI? kama jambo hilo haliwezekani? hivi Mimi nisingeweka wazi hapa kuna ambaye angejuwa kuwa jambo hili linawezekana?

Basi elewa LINALOSHINDIKANA KWAKO KWA MWENZAKO LINAWEZEKANA...yapo MENGI YA KUSHANGAZA HUJAWAHI KUYASIKIA HAPA DUNIANI....ELEWA NYUMBA ZETU ZINAFICHA SIRI NYINGI SN...kumbuka MWANAMKE YEYOTE ana SIFA ZA MWANAMKE...
Kama ni Uzalamoni sawa hilo siyo story

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi kuna shida
 
Sawa mkuu ila bonge la mjanja.. Nmekuvulia kofia ww ni mjanja hasa na una akili kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sibashani na huo uchafu,ila nasikitika mtu mwenye akili timamu kufanya ujinga kama huo
 
Mmeelewa lakini story 2003, mwana alikua na laptop inayoweza kukaa na chaji toka saa nne mpaka saa 6, lakini pia alienda kulala chooni
Jamaa karudisha tu story nyuma ili bro wake asishtukie.. Lakn kamla mwaka jana
 
Kwa hiyo dogo unajiona mjaaanja wakati nilishatega cctv kitambo huoni nilianza kukata mirija ya kukupa pesa ukaishia kupauka ww ni boya sana au niweke humu clip zako unaongea ongea tuu ukijua mimi sio member humu?
Hiv n kwel?😂
 
I feel u bro inasikitisha sana yan
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…