Umeshawahi kumla shemeji yako?

Shikamoo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzigo wa dhambi zako ni zako mwenyewe ila Athari za matokeo ya uovu wako zitahisiwa na kuathiri hata kizazi chako. Uovu na uasi Hubebwa kizazi na kizazi na Athari zake huwa endelevu. wakati wewe unabeba dhambi na Msalaba wako, jua Athari hizi zitahisiwa hata na kizazi chako. Malipo ya Karma hayapo katika kubeba dhambi za mtu malipo ya Karma yako kukufanya U feel the similar pain you did to other. Huwezi Lipa 1 ukapewa Mbili au kulipa mbili ukapewa nne , Kila tufanyacho kina hazina yake baadae, ndio maana unapoambiwa tenda wema uende zako usingoje shukrani maana yake hazina yako ni kubwa kuliko shukrani za mwanadamu, vivyo hivyo hata kwenye dhambi zetu, unawekewa Hazina yako murua kwa ajili ya kupongezwa kilw ulichokifanya. Be cool my friend, everything we do it has the price to pay, ukitaka fika kwenyw afterlife, there is price to pay, ukitka good life there is a price to pay, ukitaka shortcut, there is a price to pay, na ukitaka long road there is a price to pay.
 
Inawezekana tu kwa mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sana tu mkuu. “KILA JAMBO ULIFANYALO LINA MATOKEO YAKE”.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NJE YA MADA,naombeni msaada wandugu,upande huu simu yangu iko hapa tu haisongi mbele,siku ya tatu leo. Nikifungua hulu,ninachokiona ni hiki tu. Ni nini?[emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe huna lolote,ulilazimisha. Sawa na kubaka katoto kasikoweza kujitetea. Huyo aliogopa kupiga kelele ikaonekana kwa wengine ikamshushia sifa. Ulibaka mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo DHAIFU ni wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…