πππHuyu jamaa hawez kua dogo atakua ni mzee saiv, kama 2003 ndo alimaliza chuo. Kwa wastan hua watu wanamaliza chuo wakiwa na miaka 24 au 25 ukiongeza 17 mpaka sasa atakua na miaka 41 sasa huyu atakua ni kubwa jinga bila shaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu sijawahi kutumia kondomu sasa, huku wazungu wakikuona mwanaume mrefu, black na umejazia mbavu wanakufa kwakoNi vzr pia ukawa unatembea na KY
pole bro π€£ π€£ π€£ π π
Hivi mke na mume hawaheshimiani....?Hivi inakuwaje watu mnakulana halafu mnabaki 'kuheshimiana sana'?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio zilikuwepo....Mmeelewa lakini story 2003, mwana alikua na laptop inayoweza kukaa na chaji toka saa nne mpaka saa 6, lakini pia alienda kulala chooni
Kabisa.ili siku akikamatwa ajipake mafuta mwenyewe kuepusha michubuko ili kesho Yake akapige boxNi vzr pia ukawa unatembea na KY
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo dogo unajiona mjaaanja wakati nilishatega cctv kitambo huoni nilianza kukata mirija ya kukupa pesa ukaishia kupauka ww ni boya sana au niweke humu clip zako unaongea ongea tuu ukijua mimi sio member humu?
Na kuheshimiana pia
Will pay him backKarma.
Mtamu saaana kiongoz!Hausigel mtamu
CheapMtamu saaana kiongoz!
Wewe ulishawahi kumla shemeji yako? Ilikuaje?
Nilikuwa na mmezea mate Kuna siku tulibaki ndani wawili tu kwa siku mbili,akajipodoa tukawa tunaangalia tv,nilitamani nikapiga moyo konde,Mwaka 2013, tarehe 8 mwezi wa pili ndio siku niliyomla mke wa kaka yangu kabisa. Sitakuja kuisahau.
Kaka yangu ni mtu wa safari sana, muda mwingi alikuwa hashindi nyumbani. Kipindi hicho nimemaliza chuo nipo natafuta kazi hivyo muda mwingi nilikuwa nashinda nyumbani mimi na shemeji tu. Kipindi hawana mtoto wala house girl
Shemeji alikuwa anapenda sana kuangalia movie, namimi ni mpenzi pia hivyo tulikuwa tunaangalia movie mpaka saa nane usiku.
Siku niliyomla, umeme ulikuwa umekatika mida ya saa nne usiku kwahyo nikawa naangalia zangu movie chumbani kwa Laptop yangu. Akasema kiutani shem acha uchoyo bana mbona unaangalia movie peke yako (mlango ulikuwa umerudishiwa tu, kwahyo sauti na mwanga), nikacheka nikamwambia karibu tuangalie.
Kweli shem akaja, movie naangalizia kitandani na muda chumbani hamna kiti wala meza. Tumeangalia weee, kufika saa sita tu hivi usingizi ukamchukua akalala hapo hapo. Namimi nikafunga laptop mana ilikuwa inaishia charge nikaenda toilet nikalala, japo shetani alikuwa ameshaanza kuniingia.
Usiku sikumbuki kilitokea nini tukajikuta tupo kwenye game mpaka asubuhi. Huo mchezo ulidumu kwa miezi mitatu ikabidi niombe kuondoka pale nirudi tu nyumbani, nilijua ipo siku nitafumwa na undugu utaisha.
Mpaka leo hatujawahi kurudia tena na tunaheshimiana sana, japo huwa najutia sana dhambi ile. Wewe ulishawahi kumla shemeji yako? Ilikuaje?