Umeshawahi kumla shemeji yako?

"Hainaga ushemeji" kwa sauti ya Man Fongo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie walokole hebu ondoken kwenye huu kaanzisheni uzi wenu wa mapambio kule kwenye jukaa la dini mnajifanya wema sana mmekazana dhambi dhamb huu uzi sio wa dhambi ni wakula mashemeji... acheni watu washushe nondo hapa

Ova
 
Ukipiga kimya kisirisiri ukawa unatubu, kuliko hii sifa ya kijinga,tumewala mahouse girl. Naogopa yatanirudia lkn Mungu atawasamehe yanipate mwenyewe
 
Nilikuwa na shemeji yangu vizuri tu tena jana .
Na saivi na chart na nyie niko na mme wangu kitandani hapa nimemlalia kifuani maisha ndio hayo kifua hiki ninachokilalia kimelaliwa juzi na mke wa rafiki yake .
Mchepuko wake na wengine tu.

Mimi niko kwenye list ya michepuko ya mme wa mke wa rafiki yake yaani tunazungushana ndio life .

So ndio maisha kamili
 
Umefanya dhambi mbaya, lakini kitendo chako cha kutangaza udhalimu uliofanya ni kibaya zaidi.
Umejibebesha majukumu ya shetani kuhimiza wengine waige vitendo vyako
 
Daah we ndo baharia sasa wengine cha mtoto
Hatari mkuu,,,kuna siku aliniuliza hivi kuku na yai unapenda kipi?nikamuuliza napenda kipi au kipi kitamu?akasema kipi kitamu,,,nikamjibu kuku ndy mtamu kuliko mayai,,,,duu ,,hyo siku nilikula kuku hadi manyoya..hatari Mkwe wngu,,,,mabaharia wanasema Mkwe ,,,mkwee...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…