Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr Pimbi,Jamani wapendwa habari zenyu
Nadhani baadhi yenu mnaishi katika Ndoa na wengine mna Boy/Girl Friends. Mimi binafsi nina Miaka mingi sana na Shemeji/Wifi yenu Zena. katika Maisha yetu Kuna siku unaweza Ukashangaa tu Amekasirika, Amenuna, Hataki kuzungumza, Nikijaribu kutafakari ni wapi Nimemkwaza sipati jibu basi nabaki Mnyonge tu.
Walio kwenye mahusiano Je Mnaexperince the same je Mnafikiri ni Kwa nini na Nini Mtu unatakiwa kufanya unapoface situation kama hiyo. Let us share experince and solutions so as kudumisha Mahusiano yetu
Jamani wapendwa habari zenyu

Mkuu unawezaje kutafuta Suluhisho bila kujua Tatizo ni nini? Jamani wadada/wamama naombeni majibu yenu! Yaani mnarudi Kazini mnafika Nyumbani Mtu kanuna, ukimuuliza anasema hakuna Ishu
Tatizo nini?