Umeshawahi kuogopa kulala na demu aliyeamua kukupa Chiu bure

Kevzy

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2026
Posts
976
Reaction score
1,712
Hlw

Mtaani kwangu fame ilikuwa kubwa sana na sikuwa mtu wa totozi nilikuwa na bebe yangu Moja tu najipoza nayo na haikuwa ya hapo mtaani , videmu vya mtaani vilikuwa vinaniona kama naringa sababu sijachukua kazi mtaani, miaka ikaenda nikapata safari mkoa kikazi nikakaa huko kama miaka 6 hivi ila stori za mtaa zote nilikuwa nazipata na steps za mademu wote wa mtaa

Nikarudi mtaani nikapanga mtaa wa Tano na nyumba ya familia , maisha yakawa yanaeendela yule demu niliyokuwa napiga nilivyosafiri nayeye alirudi kwao tuliachana hivyo, nikipata ugumu naenda juu Kwa juu Kwa videmu vyangu vya zamani napoza narudi maskani, sikuwa na show off za mademu mtaani

Sasa Kuna usiku mmoja natoka kuchek game ya usiku kama saa 6 hivi nakutana na kidemu kimoja Cha mtaani kwenye sehemu ya kununua chips nacho kinanunua chakula, kikanifurahia na kunambia Inabidi tukale wote Kwako, nikamwambia twende ila moyoni najisemea huyu demu ni danger, washikaji wa mtaani wengi wamepiga sitaki kuingia Chaka , labda mpaka nipate uhakika wa Afya yake

mtoto anaridhisha mzuri tu ila tatzo sio mchoyo then dzain ya vidada vya mjini huko mtandaoni full kula Bata na wababa watu wazima, nikamkaribisha ghetto na hiyo ni ngoma sita


Nikamuwekea movie za masela wakina Rambo Ili hisia ziwe mbali, tukawa tunakula huku story za hapa na pale , tukamaliza kula story ngoma Saba , akaomba nimsindikize kwao nikakapeleka

Ile nafika ghetto tu amenitumia sms , wewe mbona muoga hivyo, nikamuuliza Kwa nn? Akajibu yaani nimekuja mpaka Kwako umeshindwa kunivua Pichu, nikamwambia ungenambia ningekuvua , Sasa nitakuvuaje! Bila kujua kama unataka kuvuliwa, akacheka na akanambia kesho nataka univue ah ah ah ah utanambia mda Gani? Nije univue nione kama utawezaah ah ah ah

Kesho yake ilikuwa jpili, akanichek mapema tu saa kumi na kunambia kuwa saa Moja mpaka saa nne atakuwa kwangu , nijiandae kumvua Pichu, nikajisemea tu moyoni kuwa ibilisi yupo kazini

Mda ulivyofika Nika switch off line ambayo ana namba yangu, na kumkimbia hewani , na sababu ni nyingi za kumkimbia yule manzi

Ni mzuri ila ni karibia mtaa mzima wamepiga yaani hakuna mashine ajaikalia palee mtaani salama yangu Mimi ambaye sikuwepo mtaani Kwa mda mrefu alaf Huwa anaji sell Kwa watu wazima, Arusha, zenji, dar yaani ana deliver kama sambusa aisee

Na kibaya aogopi yule mtoto , Huwa anapost kabsa yupo na mibaba , ah ah ah ah hatari , nimeikimbia Pichu ya bure tu

Ila anaridhisha japo kuwa sio kazi nzuri sana, tatzo sikujua Afya yake

Nomaa
 
Niliwahi kupaisha penati kwa barmaid mtusi mzuri anatisha niliogopa umeme.
Nilipaisha pia penati Cafe Latino pale Sinza mtoto wa kihaya..🤣🤣🤣
Mwoga mimi balaa.
Bar maid anaenda kubadili nguo tuondoke anarudi sipo na hapo kala nyama na pombe kachoka.
Nipo na Kijiji madogo wangu na masela pesa ya kampuni ya madini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…