Umeshawahi kupendwa na Mwanamke usiyempenda?

Ni mara nyingi nimependwa na wanawake ila sijui kwanini sipendeki nachukuliaga tu easy.Siku moja nipo kona bar nimebeba mlupo nahisi ni denti wa ustawi wa jamii bamaga tulikuwa gizani pale nje kwenye eneo la wazi kando ya barabara alikuja tu nilipo akaanza kunisaundisha nikampe vitu kwa malipo tumeenda zetu gesti tumewasha taa demu ananishangaa.akasema hee we kaka m..... wanawake wanakutongozaga?
 
hii ni kawaida kabsa ila mm ipo tofaut kimtindo.

iko hivi, mimi ni wale wazee wa i dont care kama manzi amenielewa halafu sina mzuka nae hata afanye nn siwez kuwa nae ,kiufupi nishakataa kujiforce kabsa

mademu ambao nimepitia ni wale wa mazoea kidogo unachapa wanapita kushoto (wale wa show show) sikuwah kufikiria kama ntakuja kupata mwanamke ninaempenda sana.


sasa bwana kama wanavyosema kila kubwa lina kubwa lake,nilitokea kumpenda demu mmko ivi aiseeee ule upendo wa moyoni .kwel kwel.ndo nikajuaga kupenda kupo

siku namtongoza alichomoa halafu hakupepesa macho ,hata ile kunionea aibu hakuna,

mhuni nilisizi na sikutegemea kama angenichomolea ukizingatia tulikuw na mazoea ya kuitana baby, hata text alianza na mume wangu, siku moja ilibidi nimuulize why tunaitana hivi lakn nikikuomba tuwe rasmi unanijibu una mhuni na unampenda akawa anajibu "ni bas tuuu najikuta"

oya huyu manz nilimwelewa vby mno.mno,mno nilifukuzia kama mwaka na nusu halafu hata mawasiliano yalikuw hafifu ukimchek anajibu mkato unajua zile.


ilibid tu nimpotezee kiaina lakn kabla ya yote nilifanya ujanja ujanja ,uongouongo ,ubabaishaji mwing nikafanikiwa kula kitumbua chake aiseeeeeee niliishiwa pozi kabsa huwez amini manz hakuw mtamu wala nn,na nikiri waz huyo ndo manz pekee ambaye show ilikuw mbovu japo kwa upande wake niliona akiinjoi sana

Maisha yalivyokuw ya ajabu baada ya kulamba asali manzi akakolea sasa yaan mpira ukageuka,kipind nina hisia nae yy hata hafikiriii ,hisia zimekata yy ndo amejaa mazima


mwez wa 4 huu hachoki namwambia nishamove on lakn haelew simu nying sana,namhakikishia sina tyme nae lakn still anakomaa,saiv amebadilisha upepo ni mwendo wa zawad utashangaa leo jeans kesho kiatu (mara nying ni vizawadi vdg vdgo)

umalaya unaanzaga hivi hivi.
 
Ki ukweli mke ninaye ishi naye sijawahi kumpenda , sababu zinazo fanya niwe naye ni -
  • Anaheshima
  • Ana care
  • Aliwahi kujitoa kumuongezea damu bibi yangu na kumuhudumia mpaka kumuogesha kipindi bibi anaumwa
  • Kuna kipindi alifuma sms nikiwasilana na mwanamke mwingine,ALIKUNYWA SUMU ila tulimuwahi.
  • Wazazi na ndugu huwaambii kitu kuhusu huyu mwanamke.
  • Nimezaa naye mtoto.
*Tatizo kubwa ni Mimi Sina upendo naye .
 
Wanaume hatujuaji kukataa
Nilitongozwa na mdada kiukweli hadi Leo nipo nae kwenye mahusiano lakini simpend nahisi nikimshana kuwa simpend nitamuumiza.
All in all life is not fair
 
Mkuu kwa dunia ya leo kama tu kuna watu wanafanya ngono, na hawaitani wapenzi wanaitana friends with benefit sijui kulana kimasihara, sembuse ambao hawafanyi kabisa hao si kama kaka na dada tu
Friends with benefits inakuawaje hii huwa sipati picha hii ikoje? Ni mauzo au kutoka kula bata na kula shoo then Kila mtu na mpenzi wake au ikoje hii?
 
Uko vizuri
 
Ulikosaje mbinu mzee? Ilipaswa uondoke na wote wawili
 
Nishawahi kukutana na Jambo kama hilo.

Mimi shida yangu ilikuwa nipige nikimbie asee Alianza kuniganda kinoma.

Lakini ujue nini wakuu UTOTO RAHA SANA
 
niliwahi kupendwa na schoolmate wangu, wakati mimi sina hata mpango naye kichwani kabisa kabisa. alihangaika mno, nilikutana naye miaka kama 5 baada ya kuachana shule, sote tumeshamaliza vyuo, akajua sijaoa na alikuwa ananifahamu mno tangu tukiwa shule, alikuwa mtu wa karibu mno shule, anazijua tabia zangu. nilijifunza wanawake akikupenda anaweza kutumia garama kubwa asile hata chakula ila akununulie vitu wewe, nikikutana naye alikuwa anatia huruma, na alilia mno aliposikia naoa.

ajabu yake, mke wangu niliye naye alikuwa ananipenda zaidi kuliko hata huyo classmate, na mimi nilimpenda na naendelea kumpenda. nawashauri vijana, ukitaka kuoa, oa mwanamke anayekupenda zaidi ya wewe unavyompenda, huyo atakuvumilia. all in all, hawa wanapatikana kwa Mungu, ukimwomba Mungu atakupa yule atakayekuvumilia na kukupenda kwa moyo hata kwenye mapungufu na madhaifu wa mwili n.k. mwanamke asipokupenda hata ukimwoa anaweza kutembea hata na houseboy wako, na anaweza kukuletea vimbwanga ukafa hata kabla ya siku zako.
 
Ndio hivyo mnakuwa na open relationship yani mnakutana kama kawaida ila kila mtu na wake
Most likely that aidha mwanaume ana mtu wake na wewe ni best wa demu wake, au vice versa. Kwa uzoefu wako hio inatokana na mazingira gani hasa kipi kinawainganisha?
 
Sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…