min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Tatizo una kuta anae kupenda nae haumtaki na unae mpenda nae hakutaki ,na yeye huyu unae mpenda kuna mahali hatakiwi tena ,apo ndipo tunaposhindwa kuimba wimbo mmoja.Mimi ndio maana sihangaiki kupenda mtoto wa mtu, yani wewe uko serious unampenda kumbe mwenzio anakuona lofa na fala tu, hakuna vitu sipendi kama kuchukuliwa poa na kufanywa mjinga