Umeshawahi kupendwa na Mwanamke usiyempenda?

Mimi ndio maana sihangaiki kupenda mtoto wa mtu, yani wewe uko serious unampenda kumbe mwenzio anakuona lofa na fala tu, hakuna vitu sipendi kama kuchukuliwa poa na kufanywa mjinga
Tatizo una kuta anae kupenda nae haumtaki na unae mpenda nae hakutaki ,na yeye huyu unae mpenda kuna mahali hatakiwi tena ,apo ndipo tunaposhindwa kuimba wimbo mmoja.
 
Mwaka 2002 niliwahi pendwa na binti ambaye niliamua kutuliza kiu yake.
Baada ya hapo siaonana naye mpaka leo lkn vurugu alizonazo kunisaka utadhani nilimpa mimba.
Ni piga block,hata baada ya miaka 6 ikitokea nikabadili simu akinitafuta lazima anipate na malalamiko mengi.

Miaka ya 2016 nikiwa Tanga kumbe yeye alikuwa Arusha,acha atume nauli kila baada ya miezi miwili,zikaliwa na kuliwa.

Nikapiga block,mwaka jana kanisaka tena, nilivyomtambua tu nika block.
 
Niliyenaye kwa sasa . Yani najaribu kujilazmisha nimpende lakini wapi . Kiufupi unafki mimi siwezi. Najitahidi mno kumwonesha na mpenda lakini bado sana najisahau hata wiki mbili hatafutwi na nikijitetea kidogo tu anaelewa yaani hata mwezi na inapita yeyetu ndio ananitafuta.

Huyu mwanamke ni mzuri tu. Kielimu yupo vizuri ana adabu na heshima kama zote .
Nimejaribu njia nyingi sana akate tamaa lakini wapi. Nimezaa na mwanamke mwingine nimemwambia ili aniache lakini wapi.

Kwa sasa najitahidi tu kumpa siri ya navutiwa na vitu gani sana kwa mwanamke ili avifanye au kuvaa ili nidate
Lakini bado sijui kama atatoboa .

Hivi huyu nikimwoa sinitamtesa sana maana yeye kachizika ila mimi hamna kitu japo ni mrembo na ana shepu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…