Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,517
- 3,316
Shule zinafunga week hii mkuu ila 4 hawatafunga, huyu atakua form 3 kamaliza mitihan ya midtermHivi form four mmefunga shule lini!?
π―π― Unyama sanaaSiku hz kabla ya kusoma Uzi wa mtu nachek joining yake ni ln......
Uso kuwa soft inategemea kwa tafiti zangu
π Kuna watu wana ngozi soft natural kabisa hata akijipaka babycare ana glow
π Hapa kuna aina ya ngozi, kavu combined kavu plus nyevu, na ngozi nyevu
π Unywaji wa maji mengi unafanya ngozi yako kuwa soft,
πUlaji wa matunda vilevile.....
π Kujua nn unatakiwa kupaka na kipi hutakiwi kupaka hasa siku hz unaweza pima skin pH plus kujua aina yako ya ngozi inakupa urahisi wa kujua mafuta gani utumie
π Kingine usaidizi wa scrubbing na skin care nyingn huipa ngozi kuwa nzuri
π Osha uso vzr.... Tumia sabuni maji mengi,, inaifanya ngozi kuwa smart
π Mwishoni kabisa fanya scrub ya nyanya, ama asali au maganda ya ndizi kawaida tuu.....
Ngozi ina jiweka yenyewe kwenye nafasi yake.....
Kua tajiri kwanza,halafu utaona hiyo ngozi ya kitajiri itakuja yenyewe tu.nataka nibaki na kidevu safi na ngozi ya kitajiri.
Nitumie nini?
Naaamπ―π― Unyama sanaa
Maarifa ya hali ya juu nakupa nyota tanooNaaam
Hahahaha Asante sanaMaarifa ya hali ya juu nakupa nyota tanoo
Hawa ni baadhi ya wakongwe wanakuja na id's za kigen ZShule zinafunga week hii mkuu ila 4 hawatafunga, huyu atakua form 3 kamaliza mitihan ya midterm
Haha maana hawa vijana wakijaga mtaani ndo kunakuwa na ongezeko la nyuzi za kipuzi kama hiziShule zinafunga week hii mkuu ila 4 hawatafunga, huyu atakua form 3 kamaliza mitihan ya midterm
Tabia za wateja wa pdidy kabisa hizoHawa ni baadhi ya wakongwe wanakuja na id's za kigen Z
Jana na nyie la saba maandalizi yenu yanaendeleaje?Hivi form four mmefunga shule lini!?
πππ€Kua tajiri kwanza,halafu utaona hiyo ngozi ya kitajiri itakuja yenyewe tu.