Umeshawahi kuwa na mwanamke wa namna hii?

Umeshawahi kuwa na mwanamke wa namna hii?

Kwani nini maana ya friends with benefits? Kwa kifupi mwanaume unapata sex bila ya kutoa benefits za relationships, iwe mitoko, zawadi, emotional attachments n.k

Friendzone, mwanamke anapata benefits za relationship without offering the sex.
 
Back
Top Bottom