Umeshawahi kuwa na mwanamke wa namna hii?

Kwani nini maana ya friends with benefits? Kwa kifupi mwanaume unapata sex bila ya kutoa benefits za relationships, iwe mitoko, zawadi, emotional attachments n.k

Friendzone, mwanamke anapata benefits za relationship without offering the sex.
 
Wapo, jamaa mmoja hapa kitaa anaye. Kampa na mtoto kabisa anamtunza yeye mwenyewe.
Jamaa ana mke na watoto watatu.
Kumpa kwake pesa ni yeye tu apende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…