hahahahahha inatokea sana,yaani unakuta sehemu unayokwenda haiko mbali na we mwenyewe unaelewa hutapotea.Hahahaha!nishaifanya sn hii,kuna cku nilikua nimeelekezwa kwenda ofic flan kumbe iko karibu na kijiwe cha tax ile kupita pale madreva tax km kawa wakawa wanashindana kunikaribisha km mteja wakanichanganya mpaka nikaipita ile ofic mbele kidogo nikachomoa cm nakujidai naongea nikageuka na kurudi nilipokua naenda na hakuna aliyeelewa somo lol!
hahahahahha inatokea sana,yaani unakuta sehemu unayokwenda haiko mbali na we mwenyewe unaelewa hutapotea.
ila sijui kama wanaoangalia huwa wanagundua
ukiwa mdada ndo mbaya,usikute uliwapita hujawasalimia,na unaona soo kuwafuata uwaulize wakati hukuwasalimia mwanzoniNadhan hua hawagundui labda km utaanza kubabaika ovyo na kuangaza angaza kila mahali na kuonyesha kuchanganyikiwa ndio wanaweza kustukia mbaya zaidi awe ni mdada msister du alafu hata alipopita mara ya kwanza hakusalimia lol!
yaani kuna uzugaji wa aina nyingi
ila wa kupotea hasa kama ni madukani
najidai kuuliza kitu ambacho najua hakipo
duka la vyombo nauliza ticeti za meli.
dah jamaa mjanja sana,bila hivo wangemshushia cossovoKuna jembe langu moja hivi. Mtoto wa kiarabu tulikuwa kwenye function moja magomeni miaka ya end 90's, kumbe ilikuwa karibu na sehemu ya jamaa ake mmoja hivi si akaamua kumtafuta kwao, sasa hapo ndo akaingia nyumba sio kujja kutahamaki wameng'ang'ania eti mwizi kuna mmaza ndio alishadadia kama nini.. Aaah jamaa akaanza kuwachana ''ntaiba nini humu cha thamani ambacho kwetu hakuna, akatoa simu yake limotorola mche enzi hizo simu ndo zilikuwa zinaingia tu) haya nani aamiliki simu humu ndani hadi mi nije kuiba humu?'' Halafu huyoo akawa anaondoka kitemi huku maneno yanamtoka kawaacha wameduwaa
yaani kuna uzugaji wa aina nyingi
ila wa kupotea hasa kama ni madukani
najidai kuuliza kitu ambacho najua hakipo
duka la vyombo nauliza ticeti za meli.
yaani kuna uzugaji wa aina nyingi
ila wa kupotea hasa kama ni madukani
najidai kuuliza kitu ambacho najua hakipo
duka la vyombo nauliza ticeti za meli.
teh teh teh ila hiyo ya kuimba mi nadhani ni rahisi kugundulikaKwa mimi imeshanitokea some times unakuta una mambo kadha wa kadha kichwani.
Ikatokea somebody who nearest to you, akakuongezea stress vikakupelekea uko road na ukajikuta umeongea peke yako !
Ghafla una'recognise some pipo wamekustukia unaongea man'alone , hapo mie hutumia technic kuendelea ku'talk , naweza ku'act kama naimba hivi.
Kwa mimi imeshanitokea some times unakuta una mambo kadha wa kadha kichwani.
Ikatokea somebody who nearest to you, akakuongezea stress vikakupelekea uko road na ukajikuta umeongea peke yako !
Ghafla una'recognise some pipo wamekustukia unaongea man'alone , hapo mie hutumia technic kuendelea ku'talk , naweza ku'act kama naimba hivi.