Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
- Thread starter
-
- #21
๐๐๐๐๐ Ki starlet nini?Duh kuna siku niko kwenye foleni sambamba na kigari kimoja cha ajabu ajabu nikakiangalia like wtf! Haikupita dakika gari yangu taa ya coolant ikawaka mara mvuke kama wote! Nikapaki pembeni kile kigari kikanipita taratibu nimefungua duka! Kuna water connector ilikuwa ime crack! Aisee kile kigari sasa hivi nikikiona nakiheshimu(tunatumia njia moja)
Mwamba alianza nisaliti yeye kwa kunambia gari yake ilikuwa poa haya tungetaka irudisha ulaya inaenda. Kumbe Moro tu hapo inachechemea. Nmefika Moro kiuno kinauma ile mbaya na mafua,kikohozi choka mbaya....alibaki kutengenezaKwa hio ulimsaliti mwamba?๐ ๐ ๐
Safari mlianza saa ngapi na mlifika mda gani?Mwamba alianza nisaliti yeye kwa kunambia gari yake ilikuwa poa haya tungetaka irudisha ulaya inaenda. Kumbe Moro tu hapo inachechemea. Nmefika Moro kiuno kinauma ile mbaya na mafua,kikohozi choka mbaya....alibaki kutengeneza
Nakumbuka miaka ya 2003-2004 nilikuwa Shanta Kwenye taxi ya anko wangu aisee hiyo gari ilikuwa kimeo hatari Sana....
Brake fluid ilikuwa inatumika povu la sabuni ya unga..
Bonnet inafungwa na waya,gari haina kibali wala Bima inaendeshwa usiku Tu
Saa moja asub tumetoka Sinza.. morogoro saa 11 jioni hebu nambie mwenyewe.Safari mlianza saa ngapi na mlifika mda gani?
Hahahah mamaye Safari ya Dar Mwanza hioSaa moja asub tumetoka Sinza.. morogoro saa 11 jioni hebu nambie mwenyewe.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Saa moja asub tumetoka Sinza.. morogoro saa 11 jioni hebu nambie mwenyewe.
Ingekuwa ni mjep, mngepata suluhu ya harakaSikutaka shida nilimwacha nikarudi kwa bus.... Ile ilikuwa safari ya mashaka..haifai kabisa
Endapo hapo sinza mngeondoka na mtu anayekuja Arusha na Passo ya piston 3, angefika kabla yenu huku akizingatia vibao vya 50kph, kuchimba dawa, kula na mengineyo...[emoji119][emoji119][emoji119]Saa moja asub tumetoka Sinza.. morogoro saa 11 jioni hebu nambie mwenyewe.
Kwani nawe unauza magari mjomba?Nasikitika sana kusikia wana wamepata kimeo! Gari hizi muangaliege mnanunua kwa nani aisee?!
Hahahah siuzi mzee baba ila najua yanapouzwaKwani nawe unauza magari mjomba?
Hahaha kuna siku nimetoka Tabata nakuja Ubungo, kuna watu wana IST mbele wanasua sua nikawapigia horn nyingi na nawawashia taa maana walikua sambamba na roli. waliposogea pembeni niliwaovertake kibati sana, nafika mataa ya External AC ikaanza toa joto, gari inatikisika feni ipo maximum, taa ya coolant inawaka, taa ya overheating ya njano ikawaka dakika 2 mbele ikawa nyekundu, weee.. kwenye bonnet ulitokwa mlipuko sijawah usikia. Nasimama wale wenye IST ndio waliokuja nisukuma nikaweka pembeni pale njiapanda ya Mabibo hostel. water pump ilikua imenifia. aisee nilikonda ndani ya week 1 kupata ile pump.Duh kuna siku niko kwenye foleni sambamba na kigari kimoja cha ajabu ajabu nikakiangalia like wtf! Haikupita dakika gari yangu taa ya coolant ikawaka mara mvuke kama wote! Nikapaki pembeni kile kigari kikanipita taratibu nimefungua duka! Kuna water connector ilikuwa ime crack! Aisee kile kigari sasa hivi nikikiona nakiheshimu(tunatumia njia moja)
Hilo lilikuwa pepo sio gari๐Kuna gari ya mjomba wangu tulikuwa tunapiga safari sheria yake ilikuwa haizimwi mpaka ufike unapoenda, ikigoma kuwaka unaipulizia dawa ya mbu ndio inawaka, kwenye foleni haitakiwi uwashe AC au radio, inakata moto na kuwaka mpaka iamue๐คฃ
๐๐๐Hahaha kuna siku nimetoka Tabata nakuja Ubungo, kuna watu wana IST mbele wanasua sua nikawapigia horn nyingi na nawawashia taa maana walikua sambamba na roli. waliposogea pembeni niliwaovertake kibati sana, nafika mataa ya External AC ikaanza toa joto, gari inatikisika feni ipo maximum, taa ya coolant inawaka, taa ya overheating ya njano ikawaka dakika 2 mbele ikawa nyekundu, weee.. kwenye bonnet ulitokwa mlipuko sijawah usikia. Nasimama wale wenye IST ndio waliokuja nisukuma nikaweka pembeni pale njiapanda ya Mabibo hostel. water pump ilikua imenifia. aisee nilikonda ndani ya week 1 kupata ile pump.
Kuna kigari I think ki starlet ila nyuma kina spare tyre inewekwa kama za Rav4๐๐๐๐๐ Ki starlet nini?
Nyie jamaa ndo huwa mnaona wenzenu wanaishi barabarabani. So mnawapigia horn wawapishe mna haraka...Hahaha kuna siku nimetoka Tabata nakuja Ubungo, kuna watu wana IST mbele wanasua sua nikawapigia horn nyingi na nawawashia taa maana walikua sambamba na roli. waliposogea pembeni niliwaovertake kibati sana, nafika mataa ya External AC ikaanza toa joto, gari inatikisika feni ipo maximum, taa ya coolant inawaka, taa ya overheating ya njano ikawaka dakika 2 mbele ikawa nyekundu, weee.. kwenye bonnet ulitokwa mlipuko sijawah usikia. Nasimama wale wenye IST ndio waliokuja nisukuma nikaweka pembeni pale njiapanda ya Mabibo hostel. water pump ilikua imenifia. aisee nilikonda ndani ya week 1 kupata ile pump.
Mbona Starlet znadharaurika hivo?Kuna kigari I think ki starlet ila nyuma kina spare tyre inewekwa kama za Rav4