Umeshawai juta baada ya kufanya mapenzi

Umeshawai juta baada ya kufanya mapenzi

Kuna demu nilitembea nae, alafu washikaji zangu wakawa wanamuongelea huyo manzi kuwa ana ngoma na vile walikuwa hawajui nishabonya, wewe niliondoka hapo kimya kimya nikarudi kwenye sehemu yangu ya Kazi nilijuta badae nilimpigia huyo manzi simu kwa kumlaumu mno kwa nini ameniua, manzi pia akaanza kilio, akaniambie niende nae tukapime asie huwezi amini tuilipima Hospital 4..

Hiyo ndio siwezi sahau.
 
kupitia mkasa huo.. Mkuu I hope ulipata funzo kubwa. Na utulie sasa mkuu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hapo ujue nimeshakimbia nyingi kwa close friends kuniambia sasa unataka kufaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Huyo bidada unaongea naye kishaua wengi na wewe unapeleka pua yako ukaunguzwe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ basi najikata mzima mzima 😜😜😜. Mara nyingi ni dada wa watu kuhisiwa vibaya tu BUT better be SAFE than SORRY.

hahaha mkuu.. Upo vizur
 
wana wanakujali sana.. Hahaha au nao fisi nin.. Af sijui kwanin huwa tunawaona upande wa pili nd wenye tatzo Ila sis ka sis tunajiona wazma
 
Ni pale wakati nafanya nae vikawa vinatoka vitu kama mtindi dah nusu nitapike
 
Sana aisee nawashukuru mnooo ila tunajaliana sana tu katika kustuana kuhusu afya zetu wapi pa kupita, kuepuka misongamano na kukumbuka kuvaa BARAKOA 😜😜😜😜 Sasa wengine wabishi mie naenda kula restaurant nitakulaje chakula huku nikiwa nimevaa barakoa? πŸ˜‚πŸ˜‚

wana wanakujali sana.. Hahaha au nao fisi nin.. Af sijui kwanin huwa tunawaona upande wa pili nd wenye tatzo Ila sis ka sis tunajiona wazma
 
Sana aisee nawashukuru mnooo ila tunajaliana sana tu katika kustuana kuhusu afya zetu wapi pa kupita, kuepuka misongamano na kukumbuka kuvaa BARAKOA 😜😜😜😜 Sasa wengine wabishi mie naenda kula restaurant nitakulaje chakula huku nikiwa nimevaa barakoa? πŸ˜‚πŸ˜‚
hahaha haswa wew inaonekana mbishi sana mkuu nd maana wanakupa taadhar sana. Suala la barakoa bn dahh toboa ata katundu kadogo ka kupitishia kijiko tu.. Au mrija
 
  • Thanks
Reactions: BAK
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila sirukii rukii kila wa kurukia Mkuu. Maisha ni matamu sana Mkuu hivyo kujilinda ni muhimu sana.

hahaha apo umenena vyema. Kati ya vyote hii point nd nmeichukua mkuu
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Unamaanisha yale majuto ambayo yanakuja baada ya kupiga nyeto
Habari wanaJf,

Poleni na harakati za kutafuta riziki. Hongereni pia maana nyinyi ni wapambanaji na ipo siku mtashinda.

Kama kichwa kinavyojieleza pale juu. Ebu kiangalie tena kinasemaje. Haha

Basi bana ngoja nianze na mimi, yes ishatokea tena nilijuta sana. Ata sijui why. Sijui ilikua tamaa zangu au huenda kwa vile sikutumia kinga. Sijui kitumbua hakikua kitamu.. Dahh

Anyway nawe unaeza kueleze kidogo ilikuaje kwako

Karibu sana.
 
Kila nikisharusha uji lazima nijute,Tena nikiangalia papuchi sura yake nazidi juta ila baada ya dakika kadhaa majuto yanaisha naiona papuchi Kama pepo narudia Tena mzunguko
 
Back
Top Bottom