Umeshawai juta baada ya kufanya mapenzi

Umeshawai juta baada ya kufanya mapenzi

Kila nikisharusha uji lazima nijute,Tena nikiangalia papuchi sura yake nazidi juta ila baada ya dakika kadhaa majuto yanaisha naiona papuchi Kama pepo narudia Tena mzunguko
Acha hizo bas mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We acha tu! Nikaambiwa ni mjane ambae ameshaua wanaume 6 , nilihisi ardhi yote inazunguka, kupima ni negative, siamini ila nilijuta. Jamani! Acheni kuparamia!
 
We acha tu! Nikaambiwa ni mjane ambae ameshaua wanaume 6 , nilihisi ardhi yote inazunguka, kupima ni negative, siamini ila nilijuta. Jamani! Acheni kuparamia!
Pole Sana mkuu.. "acheni kuparamia" nimekupata apo
 
Back
Top Bottom