Umeshawai kufumania? Ilikuaje, ulipatwa na hali gani, ukafanya uamuzi gani?

huyu angekuwa mkeo wa ndoa ningekushauri usimuache but kwa kuwa ni hawara sina comment
 
Kitu nachoweza kusema wewe bwege kweli kweli aisee yaani umechapiwa kwenye kitanda ulicholipia na bado umesamehe kama unaendelea nae anza kuandaa taratibu za mazishi na kuna kila dalili mzee baba ulikuwa haumfikishi ndio maana akakuletea msaidizi
 
Inaonekana yeye ndio hulipia lodge au huna nguv za kiume huwa mnakutana na kukumabtiana tuuu usiku mzima, kwa hiyo hatuwez kukushauri kwa sabab unachosimulia hapa ni laana kwenye tasnia ya uanaume. Nisafiri kufuata demu, kisha afanywe chumba nilicholipia, afanywe shimo nililopitisha koleo usiku ule ule.

Ashakudharau na ataendelea kukudharau zaidi ya inya yake.
ANAKUMUDUUU
 
Kuna kisa kimoja dogo mmoja alimfumania mke wake analiwa na mjomba wake, kumbe mjomba alikuwa ana mega, story ya pande za njombe, dogo kamfuma mjomba live na akaita mashahidi na dudyu ya mjomba ikiwa ndani ya K wakiwa wamelala.

Dogo hakufanya kitu na yeye ndiye anamwambia mjomba usijali nisamehe mimi kwa kukuabisha.

Dogo anaendelea na maisha na mke mwingine.

I love that friend of mine a super man
 
Kama ni kweli mkwe,njoo nyumbani bila mshenga nikupe huyo binti yangu.Wasikubabaishe.Walitakaje?
-upigane na mgoni wako uumie,umuumize au mmoja afe?
-walitaka umpige binti umuumize au umuue?
-walitaka usilale chumba hicho tena usiku ule?Je,kama nje kulikuwa na baridi?
-au walitaka usisikilize mawaidha mema ya muhudumu?Je,binti angebaki peke yake na kuchukua maamuzi magumu ya kujiuzulu kuishi/kujiua?
Sasa,si unaona haujapata kesi yoyote na upo kwako unaomba ushauri tu?
 
Ukorofi utaacha lini? Umeamua utuunganishe
mi sijawaunga sameja nimepunguza muda tu kwa kuwaweka pamoja niwape ujumbe sawa. Kutunza mudaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mi sijawaunga sameja nimepunguza muda tu kwa kuwaweka pamoja niwape ujumbe sawa. Kutunza mudaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Haha naona umeiva kwenye mbinu za kivita
 
Yaani machozi ya mwanamke msaliti yakakutia huruma?

Aisee, hivi ukashindwa hata kumbana jamaa yake? Na bado ukalala kitanda walichotombeana?

Kubabake, huna akili fala wewe..
Sasa kama jamaa mbavu nene wakati yeye uzito wa unyoya?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…