Umeshawai kufumania? Ilikuaje, ulipatwa na hali gani, ukafanya uamuzi gani?

Salam salam ndugu, jamaa, washkaji na marafiki. Natoa salam hizi nikiwa sina akili zangu timamu kutokana na jambo nililoshuhudia siku chache nyuma.

Kama kichwa cha habari kinavyosema, mimi ni kijana wa miaka 30+ ila sijafika 35, nipo katikati apo.

Sasa kama mnavyojua ndugu zangu wiki hii kulikua na mapumziko marefu kuanzia Ijumaa siku mwokozi anasurubiwa hadi kufa, jumapili ya ufufuo wake na jumatatu kumalizia sherehe za ufufuo wake na siku hii iliambatana na siku ya wajinga (01/04)

Katika mapumziko haya tulikubaliana mimi na mpenzi wangu tukutane mkoa flani uliopo katikati ya nchi ili tuwe pamoja na tuyatumie vizuri mapumziko maana huwa tunakua mbali mbali mda mrefu kutokana na mihangaiko ya kimaisha (tunafanya kazi mikoa tofauti).

Kama kawaida alhamisi kuu hakukua na mambo mengi ofisini, si unajua wafanyakazi wakishajua kuna mapumziko marefu kwa io akili zinawaza mapumziko tu muda ufike waondoke. Mimi nilitoka mapema sana siku hii, nikaenda kujiandaa na safari ya kwenda kumuona Haniiiiii.

Jioni yake nikapanda basi kwenda mkoa wa katikati ya nchi, nikafika mida ya sa 4 au 5 usiku hivi. Baada ya kushuka kwenye basi nikampigia simu kumtaarifu kwamba nimefika ili nijue yupo ile sehemu tunayofikiaga siku zote au yupo sehemu nyingine nipitie.

Nilipiga simu haikupokelewa, nikasubiri kama nusu saa hivi nikapiga tena simu haikupokelewa, nikaanza kujiuliza kuna nini tena mbona sio kawaida yake. Ikabidi nifanye uamuzi wa kuchukua bodaboda na kuelekea

moja kwa moja sehemu ambayo huwa tunafikia mimi na bebi mama wangu.

Vuuuum hadi lodge, nashuka tu kwenye boda naona simu yake inaita, nikapokea nikamuuliza vipi akasema fresh, usingizi ulimpitia ndo mana hakupokea simu nikamwambia poa haina shida, akaniuliza umeshafika nikamwambia ndio nipo sehemu yetu kabisa, akanielekeza namba ya chumba basi nikajongea zangu hadi chumbani.

Kufika room tukaonana na mambo mengine yakaendelea poa kama mnavyojua wapenzi wasiokutana mda mrefu wakikutana huwa inakuaje, ilikua ni nyakati nzuri sana sikumbuki hata usingizi ulikuja sa ngapi, tulikuja kushtuka kesho yake siku isiyoruhusiwa kula nyama alaf mi nimekula tena mbichi mida ya sa tano asubuhi hivi watu wa usafi walivyokuja kutugongea mlango.

Mambo yalienda poa sana, kiasi kwamba tulipanga tuondoke jumatatu ya pasaka ili jumanne kila mtu awe kituo chake cha kazi tukaongeza siku moja yaani tuondoke jumanne, jumatano ndo tuwe kazini. Sasa hii siku ya moja tulioiongeza ndo ilikua kivumbii.

Katika huu mkoa nna ndugu zangu, kwa io nilimpanga mtu wangu kwamba jumatatu jioni ntaenda kusalimia ao ndugu ila nitawai kurudi kabla ya sa tatu usiku nitaku nimesharudi. Io siku na muda ukafika nikamuaga mwenzangu naenda kusalimia akasema poa.

Nikafika kwa ndugu zangu nikakaa nikapiga story sana,ilivyofika mida ya sa moja usiku sim ikaita, bebe ananipigia nikapokea ananiambia kuna wenzake wamekuja ameenda kuonana nao alaf funguo ya pale chumbani amejisahau ameibeba ajaiacha mapokezi kwa io nikiwa narudi nimwambie ili na yeye arudi, nikamwambia poa haina shida.

Mida ya sa mbili usiku nikaanza kutoka kwa ndugu zangu, nikamtumia msg bebe kwamba ndo natoka kwa ndugu ili na yeye ajiandae kurudi tunapokaa. Ile msg haikujibiwa, kama kawaida nikapanda bajaji hadi mjini kati kabla sijaenda tulipofikia nikampigia simu hakupokea, nikapotezea nikapitia dukani nikamchukulia zawadi nikaanza kutembea mdogo mdogo kueleka ile lodge, nikapiga tena simu haikupokelewa, apo muda ni kama sa tatu na nusu hivi. Akili ikaanza kuwaza amepatwa na nini, ameshatoka aliponiambia ameenda au bado maana sim haipokelewi msg hajibu.

Nikaingia pale lodge nikamkuta dada wa mapokezi, tukasalimiana na tunafahamiana maana sisi ni wateja wake wa mda mrefu, badae nikamuuliza uyu dada ambae nipo nae yupo umu ndani au hajarudi, akaniambia yupo na mbona hajatoka leo. Eeeh kitu kikagonga kichwani kwamba hajatoka na mi aliniambia ametoka, nikazuga pale mapokezi nikamuaga yule mfanyakazi alaf chaap nikaenda mlangoni kwenye chumba changu.

Kuzungusha kitasa mlango umefungwa kwa ndani, nikagonga mara kadhaa haufunguliwi nikachungulia ile sehemu ya kupitisha funguo nikaona funguo ipo ndani, nikajiuliza uyu amelala au ni nini? Nikapiga sim hapokei. Ikabidi niongeze nguvu ya kugonga mlango baada ya muda kidogo nikasikia mijongeo ya miguu paap funguo zinacheza mlango unafunguliwa.

Ile kufungua tu mlango akasimama mlangoni ananizuia nisiingie, nikamuuliza vipi akaniambia ndani kuna rafiki zake wawili (mtu na mpenzi wake) kwa io anaomba tuwapishe watoke alaf ndo sisi tuingie, nikamwambia unasemajee kudadeki nilimrukia kichwa kimoja yule binti kama bahati kuna mtu alikua anapita kwenye korido za lodge akawai akamvuta pembeni nikaenda kukita ukutani, ukuta ulitikisika kama tetemeko limepita na mimi nikaumia kichwa.

Nikaondoka kwenye lile eneo navuja dam nikaenda nje nikasema siondoki maeneo haya hadi nione alikua na nani, nikarudi tena kuelekea kwenye kile chumba nikapishana na MCHIZI kwenye korido anatoka kwenye chumba chetu, nikapoa jamaa akanisalimia nikamuitikia tukapishana. (Jamaa ananifahamu na mimi namfaham, na tulifahamiana kupitia uyu mpenzi wangu).

Nikawa nimeshapata majibu kwamba mle ndani alikua na yule jamaa ambae siku za nyuma aliwai kunitambulisha kwake kama rafiki ake alisoma nae Chuo.

Sasa chumbani ndo kukawa mziki, akawa anakataa hawajafanya chochote walikuwa wanapiga tu story, nikamuuliza kwa nini ulinidanganya uliniambia unatoka kumbe haujatoka, kwa nini ulinizuia nisiingie kama kulikua hamna jambo lolote akajibu alikua anaogopa.

Hasira zilikua nyingi jumlisha na maumivu ya kichwa, nikaingia bafuni nikajimwagia maji nikahisi unafuu kidogo, nikapoa.

Sasa nikagundua kitu mbona mda wote angang’ang’ania kanga haitoi mwilini mwake, sikumuuliza, akataka kwenda kuoga nikaona anaenda vilevile na nguo nilizomkuta nazo nikamsimamisha nikamvuta ile kanga akaanza kurudi nyuma, nikamshika kwa nguvu kunyanyua lile gauni ndani hana kitu kumshika juu hana kitu (yani vazi alilokua nalo ni lile gauni tu) aagh bas nikajiridhisha leo siku ya wajinga nimekua mjinga nimepigiwa manzi wangu.

Nikamuacha sikuumuliza chochote, hali yangu nikawa siielewi akaanza kuomba msamaha na kusisitiza hawajafanya chochote, nikamwambia poa haina shida.

Sasa kupata usingizi kulala ikawa issue mi sipati usingizi, mtoto wa watu analia tu usiku kucha, kusema kweli nilimpotezea nikamuacha na sikulala nae kama ambavyo huwa tunalala siku zote.

Ilipofika sa 9 usiku uvumulivu ukanishinda nikamwambia mimi na wewe basi, tukiondoka apa tusijuane tena eeh nikawa nimeamsha kilio upya.

Yule muhudumu wa pale lodge akaja akanigongea, nikafungua nikawa naongea nae (alijua nampiga labda) kwa io alikuja kucheki usalama akakuta usalama upo poa kama Ikulu.

Kulivyokucha nikajiandaa nikapanga vitu vyangu, nikamuaga na kumtakia maisha mema kilio kikaanza tena, nikatoka nje kwanza nimuache apumue.

Nilivyokua nje nikakutana na mmama mmoja mtu mzima ambae huwa anahudumu kwenye hii lodge na tumezoeana tu ile kikawaida, akaniita akaanza kuniuliza vipi wewe na mwenzako (nadhani alijua kuna kitu). Nikamuelezea kila kitu kama ilivyokua na maamuzi niliyochukua, akaanza kunipa ushauri pale ananiuliza mahusiano yetu yana mda gani na nini, mwisho akanishauri nisimuache nimpe muda, nirudi niongee nae na muondoke apa mmeelewana ila katika uo mda unaompa unakua unamchunguza, sio vema mmekuja apa wote alaf kila mtu anaondoka kivyake sio jambo jema hata uko mnapoenda hakutokua kwema.

Aagh nikaona poa maneno ya mtu mzima yana maana, nikarudi chumbani nikamkuta mtoto yupo tu machozi yanatoka nikaanza kuongea nae na kumwambia hatuachani nilifanya maamuzi nilikurupuka sababu ya hasira na nini kwa io tuendelee kuwa ote lakini tuchunge miendeneo yetu, basi tukabembelezana pale akaamka akajaindaa tukanywa chai tukaondoka, tukapita sehemu tukafanya manunuzi ya hapa na pale tukaenda stendi akapanda gari akaondoka kwenda kazini, na mi nikaenda kutafuta usafiri nikaondoka kwenda mkoa wangu naofanya kazi.

Picha ikawa imeishia hivo, PASAKA imekua PASUKA maana nna kakovu kichwani apa. Sasa nachowaza maamuzi yapi sahihi ni yale niliofanya usiku wa manane au niliofanya asubuhi baada ya kushauriwa (sielewi)

Lakini ni tukio baya sana kutokewa kwenye maisha yangu, sijawai fikiria kama ntakuja kutana na kitu kama hiki ila ndo imeshatokea na kama tupo hai maisha lazima yaendelee tu.

Vipi wewe, limewai kukutokea ilikuaje, ulichukua uamuzi gani..??!
Karibu tubadilishane uzoefu
Kama wote mmetoka mikoa tofauti na kwenda mkoa tofauti na makazi yenu ili muenjoy, juzi na jana yake mmegonganaweee mpaka mkapitiliza muda wa kuamka, kwa uchovu ulionao ukapenda kutembelea jamaa zako.....ukadanganywa ameenda kwa rafiki zake, simu zako hakuwa anapokea (AKILI YAKE IKO MBALI AKISIKILIZIA UTAMU WA MWANAUME MWENZAKO) Ukaenda mpaka chumba mlicholala siku zote hizo katika mkoa mlioenda kuenjoy, kwenye kitanda kimoja ulichomkunja mwanaume mwengine anamkunja na umewafumania na bado ukamsamehe hahahahaha
1. Hana mapenzi ya kweli na wewe
2. Huyo jamaa ni wa mkoa huo huo na mlipopanga mkutane mkoa huo naimani hakupinga kwasababu huyo mshkaji yupo huko so atampatia dhawadi adimu ambayo inaonekana alianza kuitumbua tangia zamani bila wewe kufahamu hahahaha
KALAGHABAHOOOOOOO🤣🤣🤣🤣
 
We jamaa ni definition ya mwanaume dhaifu.. mwanamke wako analala na mwanaume mwingine kwenye lodge ambayo umelipia chumba wewe.. ulivyo boya kitanda kile kile amechogongewa na wewe ukalala usiku kucha, umelalia mabao ya mwanaume mwenzako usiku kucha,

Halafu ulivyo fala ukadanganyika na machozi ukamsamehe kisa ushauri wa 'mtu mzima'. Kwani wapuuzi hawazeeki? Unadhani kila mtu mzima ana busara?

Wewe jamaa jitafakari.. na utakaposoma post yangu hii mpigie simu huyo mwanamke umwambie kwa dharau aliyokuonesha asikutafute tena na namba yako afute. Na akikuona mtaani ahame njia maana ukimkamata utamtoa komwe.
 
Kama wote mmetoka mikoa tofauti na kwenda mkoa tofauti na makazi yenu ili muenjoy, juzi na jana yake mmegonganaweee mpaka mkapitiliza muda wa kuamka, kwa uchovu ulionao ukapenda kutembelea jamaa zako.....ukadanganywa ameenda kwa rafiki zake, simu zako hakuwa anapokea (AKILI YAKE IKO MBALI AKISIKILIZIA UTAMU WA MWANAUME MWENZAKO) Ukaenda mpaka chumba mlicholala siku zote hizo katika mkoa mlioenda kuenjoy, kwenye kitanda kimoja ulichomkunja mwanaume mwengine anamkunja na umewafumania na bado ukamsamehe hahahahaha
1. Hana mapenzi ya kweli na wewe
2. Huyo jamaa ni wa mkoa huo huo na mlipopanga mkutane mkoa huo naimani hakupinga kwasababu huyo mshkaji yupo huko so atampatia dhawadi adimu ambayo inaonekana alianza kuitumbua tangia zamani bila wewe kufahamu hahahaha
KALAGHABAHOOOOOOO🤣🤣🤣🤣
Hahahahah ndugu unaniua kabisaa
 
Hahahahah ndugu unaniua kabisaa
Huo ndio ukweli halisia mdogo wangu, Ila kama unaona powa Tu na uko tayari kwa kuendelea kushare fresh tu coz jamaa alitambulishwa kwako kama rafiki yake meaning anajua kinachoendelea kati yenu je unadhani wataishia hapo kwasababu umegundua?
Jua watabuni njia mpya ambazo zitakufanya uwe gizani zaidi wao wakiendelea kukuona poyoyo mdogo wangu. Msaliti husamehewa kwa kuachwa, ni bora usimdhuru kwa lolote lakini ukamtakia maisha mema na daima atakukumbuka na kumuuma.
 
Salam salam ndugu, jamaa, washkaji na marafiki. Natoa salam hizi nikiwa sina akili zangu timamu kutokana na jambo nililoshuhudia siku chache nyuma.

Kama kichwa cha habari kinavyosema, mimi ni kijana wa miaka 30+ ila sijafika 35, nipo katikati apo.

Sasa kama mnavyojua ndugu zangu wiki hii kulikua na mapumziko marefu kuanzia Ijumaa siku mwokozi anasurubiwa hadi kufa, jumapili ya ufufuo wake na jumatatu kumalizia sherehe za ufufuo wake na siku hii iliambatana na siku ya wajinga (01/04)

Katika mapumziko haya tulikubaliana mimi na mpenzi wangu tukutane mkoa flani uliopo katikati ya nchi ili tuwe pamoja na tuyatumie vizuri mapumziko maana huwa tunakua mbali mbali mda mrefu kutokana na mihangaiko ya kimaisha (tunafanya kazi mikoa tofauti).

Kama kawaida alhamisi kuu hakukua na mambo mengi ofisini, si unajua wafanyakazi wakishajua kuna mapumziko marefu kwa io akili zinawaza mapumziko tu muda ufike waondoke. Mimi nilitoka mapema sana siku hii, nikaenda kujiandaa na safari ya kwenda kumuona Haniiiiii.

Jioni yake nikapanda basi kwenda mkoa wa katikati ya nchi, nikafika mida ya sa 4 au 5 usiku hivi. Baada ya kushuka kwenye basi nikampigia simu kumtaarifu kwamba nimefika ili nijue yupo ile sehemu tunayofikiaga siku zote au yupo sehemu nyingine nipitie.

Nilipiga simu haikupokelewa, nikasubiri kama nusu saa hivi nikapiga tena simu haikupokelewa, nikaanza kujiuliza kuna nini tena mbona sio kawaida yake. Ikabidi nifanye uamuzi wa kuchukua bodaboda na kuelekea

moja kwa moja sehemu ambayo huwa tunafikia mimi na bebi mama wangu.

Vuuuum hadi lodge, nashuka tu kwenye boda naona simu yake inaita, nikapokea nikamuuliza vipi akasema fresh, usingizi ulimpitia ndo mana hakupokea simu nikamwambia poa haina shida, akaniuliza umeshafika nikamwambia ndio nipo sehemu yetu kabisa, akanielekeza namba ya chumba basi nikajongea zangu hadi chumbani.

Kufika room tukaonana na mambo mengine yakaendelea poa kama mnavyojua wapenzi wasiokutana mda mrefu wakikutana huwa inakuaje, ilikua ni nyakati nzuri sana sikumbuki hata usingizi ulikuja sa ngapi, tulikuja kushtuka kesho yake siku isiyoruhusiwa kula nyama alaf mi nimekula tena mbichi mida ya sa tano asubuhi hivi watu wa usafi walivyokuja kutugongea mlango.

Mambo yalienda poa sana, kiasi kwamba tulipanga tuondoke jumatatu ya pasaka ili jumanne kila mtu awe kituo chake cha kazi tukaongeza siku moja yaani tuondoke jumanne, jumatano ndo tuwe kazini. Sasa hii siku ya moja tulioiongeza ndo ilikua kivumbii.

Katika huu mkoa nna ndugu zangu, kwa io nilimpanga mtu wangu kwamba jumatatu jioni ntaenda kusalimia ao ndugu ila nitawai kurudi kabla ya sa tatu usiku nitaku nimesharudi. Io siku na muda ukafika nikamuaga mwenzangu naenda kusalimia akasema poa.

Nikafika kwa ndugu zangu nikakaa nikapiga story sana,ilivyofika mida ya sa moja usiku sim ikaita, bebe ananipigia nikapokea ananiambia kuna wenzake wamekuja ameenda kuonana nao alaf funguo ya pale chumbani amejisahau ameibeba ajaiacha mapokezi kwa io nikiwa narudi nimwambie ili na yeye arudi, nikamwambia poa haina shida.

Mida ya sa mbili usiku nikaanza kutoka kwa ndugu zangu, nikamtumia msg bebe kwamba ndo natoka kwa ndugu ili na yeye ajiandae kurudi tunapokaa. Ile msg haikujibiwa, kama kawaida nikapanda bajaji hadi mjini kati kabla sijaenda tulipofikia nikampigia simu hakupokea, nikapotezea nikapitia dukani nikamchukulia zawadi nikaanza kutembea mdogo mdogo kueleka ile lodge, nikapiga tena simu haikupokelewa, apo muda ni kama sa tatu na nusu hivi. Akili ikaanza kuwaza amepatwa na nini, ameshatoka aliponiambia ameenda au bado maana sim haipokelewi msg hajibu.

Nikaingia pale lodge nikamkuta dada wa mapokezi, tukasalimiana na tunafahamiana maana sisi ni wateja wake wa mda mrefu, badae nikamuuliza uyu dada ambae nipo nae yupo umu ndani au hajarudi, akaniambia yupo na mbona hajatoka leo. Eeeh kitu kikagonga kichwani kwamba hajatoka na mi aliniambia ametoka, nikazuga pale mapokezi nikamuaga yule mfanyakazi alaf chaap nikaenda mlangoni kwenye chumba changu.

Kuzungusha kitasa mlango umefungwa kwa ndani, nikagonga mara kadhaa haufunguliwi nikachungulia ile sehemu ya kupitisha funguo nikaona funguo ipo ndani, nikajiuliza uyu amelala au ni nini? Nikapiga sim hapokei. Ikabidi niongeze nguvu ya kugonga mlango baada ya muda kidogo nikasikia mijongeo ya miguu paap funguo zinacheza mlango unafunguliwa.

Ile kufungua tu mlango akasimama mlangoni ananizuia nisiingie, nikamuuliza vipi akaniambia ndani kuna rafiki zake wawili (mtu na mpenzi wake) kwa io anaomba tuwapishe watoke alaf ndo sisi tuingie, nikamwambia unasemajee kudadeki nilimrukia kichwa kimoja yule binti kama bahati kuna mtu alikua anapita kwenye korido za lodge akawai akamvuta pembeni nikaenda kukita ukutani, ukuta ulitikisika kama tetemeko limepita na mimi nikaumia kichwa.

Nikaondoka kwenye lile eneo navuja dam nikaenda nje nikasema siondoki maeneo haya hadi nione alikua na nani, nikarudi tena kuelekea kwenye kile chumba nikapishana na MCHIZI kwenye korido anatoka kwenye chumba chetu, nikapoa jamaa akanisalimia nikamuitikia tukapishana. (Jamaa ananifahamu na mimi namfaham, na tulifahamiana kupitia uyu mpenzi wangu).

Nikawa nimeshapata majibu kwamba mle ndani alikua na yule jamaa ambae siku za nyuma aliwai kunitambulisha kwake kama rafiki ake alisoma nae Chuo.

Sasa chumbani ndo kukawa mziki, akawa anakataa hawajafanya chochote walikuwa wanapiga tu story, nikamuuliza kwa nini ulinidanganya uliniambia unatoka kumbe haujatoka, kwa nini ulinizuia nisiingie kama kulikua hamna jambo lolote akajibu alikua anaogopa.

Hasira zilikua nyingi jumlisha na maumivu ya kichwa, nikaingia bafuni nikajimwagia maji nikahisi unafuu kidogo, nikapoa.

Sasa nikagundua kitu mbona mda wote angang’ang’ania kanga haitoi mwilini mwake, sikumuuliza, akataka kwenda kuoga nikaona anaenda vilevile na nguo nilizomkuta nazo nikamsimamisha nikamvuta ile kanga akaanza kurudi nyuma, nikamshika kwa nguvu kunyanyua lile gauni ndani hana kitu kumshika juu hana kitu (yani vazi alilokua nalo ni lile gauni tu) aagh bas nikajiridhisha leo siku ya wajinga nimekua mjinga nimepigiwa manzi wangu.

Nikamuacha sikuumuliza chochote, hali yangu nikawa siielewi akaanza kuomba msamaha na kusisitiza hawajafanya chochote, nikamwambia poa haina shida.

Sasa kupata usingizi kulala ikawa issue mi sipati usingizi, mtoto wa watu analia tu usiku kucha, kusema kweli nilimpotezea nikamuacha na sikulala nae kama ambavyo huwa tunalala siku zote.

Ilipofika sa 9 usiku uvumulivu ukanishinda nikamwambia mimi na wewe basi, tukiondoka apa tusijuane tena eeh nikawa nimeamsha kilio upya.

Yule muhudumu wa pale lodge akaja akanigongea, nikafungua nikawa naongea nae (alijua nampiga labda) kwa io alikuja kucheki usalama akakuta usalama upo poa kama Ikulu.

Kulivyokucha nikajiandaa nikapanga vitu vyangu, nikamuaga na kumtakia maisha mema kilio kikaanza tena, nikatoka nje kwanza nimuache apumue.

Nilivyokua nje nikakutana na mmama mmoja mtu mzima ambae huwa anahudumu kwenye hii lodge na tumezoeana tu ile kikawaida, akaniita akaanza kuniuliza vipi wewe na mwenzako (nadhani alijua kuna kitu). Nikamuelezea kila kitu kama ilivyokua na maamuzi niliyochukua, akaanza kunipa ushauri pale ananiuliza mahusiano yetu yana mda gani na nini, mwisho akanishauri nisimuache nimpe muda, nirudi niongee nae na muondoke apa mmeelewana ila katika uo mda unaompa unakua unamchunguza, sio vema mmekuja apa wote alaf kila mtu anaondoka kivyake sio jambo jema hata uko mnapoenda hakutokua kwema.

Aagh nikaona poa maneno ya mtu mzima yana maana, nikarudi chumbani nikamkuta mtoto yupo tu machozi yanatoka nikaanza kuongea nae na kumwambia hatuachani nilifanya maamuzi nilikurupuka sababu ya hasira na nini kwa io tuendelee kuwa ote lakini tuchunge miendeneo yetu, basi tukabembelezana pale akaamka akajaindaa tukanywa chai tukaondoka, tukapita sehemu tukafanya manunuzi ya hapa na pale tukaenda stendi akapanda gari akaondoka kwenda kazini, na mi nikaenda kutafuta usafiri nikaondoka kwenda mkoa wangu naofanya kazi.

Picha ikawa imeishia hivo, PASAKA imekua PASUKA maana nna kakovu kichwani apa. Sasa nachowaza maamuzi yapi sahihi ni yale niliofanya usiku wa manane au niliofanya asubuhi baada ya kushauriwa (sielewi)

Lakini ni tukio baya sana kutokewa kwenye maisha yangu, sijawai fikiria kama ntakuja kutana na kitu kama hiki ila ndo imeshatokea na kama tupo hai maisha lazima yaendelee tu.

Vipi wewe, limewai kukutokea ilikuaje, ulichukua uamuzi gani..??!
Karibu tubadilishane uzoefu
We una moyo sana mimi hata huo ubavu wa kulala naye kitanda kimoja nisingekuwa nao
 
Silaha ya malaya ni machozi,
Hata katika vitabu vya DINI imeandika samehe mara 70
Lkn walipofika katika USALITI (UZINIFU) wa mwanamke hapo wamekemea mbaya
7bu wanasayansi wanaamini mwanamke acheat kwa bahati mbaya ameamua

Na mtibeli kila siku anasema mwanamke akikupenda hawezi kukusaliti
Mwanamke anaweza kuificha QYUMA yake hata miaka miwili akikusubilia kipenzi uje uipekenyue wewe pekee yake

Kwa kifupi huyo ni MALAYA na amekudhrau sana amekuona wewe ni
BWEGE MTOZENI
POPOYO
JINGA
KUBWA JINGA
MSHAMBA
POPOMA
hupindui kwake hizo ni dharau kubwa
Mwanamke msaliti haumpi tena nafasi ya pili ukimpa nafasi ya pili utajuta maisha yako yote 7bu ataona ameshakuweza
Piga CHINI itauma mwanzo tena sana ila after siku kadhaa pain itapotea tafuta mke OA
asikwambie mtu kuna wanawake wazuri wa kila aina katika maisha yangu sikuwahi kuwahi kuwaza kama nitapata DEMU ANASQUITING na KUVAIBRATE kama vile kwenye Pornvideo yaan naenjoy balaa
Kwa hiyo mjomba usiogope mademu wapo kibao wanatusubiri sie VIDUME
na wewe mwanaume FURAHI kuumbwa MWANAUME tena SHABABI linga sana
Huyo MALAYA asikusumbue piga chini faster
tayari boya ameingia kwenye mfumo wake 😂!!! Yani demu anakuingizia bwana lodge uliolipia wewe in the same bedroom af unamkuta na kuchukulia baridi!!! You must be damned!!!
 
Huo ndio ukweli halisia mdogo wangu, Ila kama unaona powa Tu na uko tayari kwa kuendelea kushare fresh tu coz jamaa alitambulishwa kwako kama rafiki yake meaning anajua kinachoendelea kati yenu je unadhani wataishia hapo kwasababu umegundua?
Jua watabuni njia mpya ambazo zitakufanya uwe gizani zaidi wao wakiendelea kukuona poyoyo mdogo wangu. Msaliti husamehewa kwa kuachwa, ni bora usimdhuru kwa lolote lakini ukamtakia maisha mema na daima atakukumbuka na kumuuma.
Nimekuelewa sana brother, ulichokiandika ni ukweli “ USAMEHEWA KWA KUACHWA”
 
Silaha ya malaya ni machozi,

tayari boya ameingia kwenye mfumo wake 😂!!! Yani demu anakuingizia bwana lodge uliolipia wewe in the same bedroom af unamkuta na kuchukulia baridi!!! You must be damned!!!
Daaah
 
Hapo huna mchumba wala mke mtarajiwa..kama mnakutana mara 1 anakusaliti wazi,je anapokua peke yake anafanya nini?ameshindwa kuvumilia uondoke ndio afanye ujinga na huyo mpuuz mwenzake...nimepata hasira sana,hukutakiwa kulala hicho chumba...huyo ni malaya kakubuhu...hana mapenz na ww,..asije kuua kwa magonjwa,..angeweza chepuka wakati ww haupo,anachepuka na ww umelala nae siku 3 unaichapa...huyo ni kiboko.
 
Ni hatari ndugu, nimemuogopa mnoo uyu mtu
 
Back
Top Bottom