Umeshawai kumuacha mpenzi wako halafu ukajutia

Binafsi ilishawai kunitokea kipindi ndo naanza kujitafuta kwa ufupi Niliona rangi zote maana ilikua ngumu kukubaliana na uhalisia .

Kibaya zaidi Niljikuta naugulia maumivu kimya kimya sababu sikutaka kuonekana weak 💔
For sure sitawahi sahau maumivu yake ever, Good news nilianza kuzoea kuishi na maumivu siku hazigandi maisha yanaendelea

Nilichojifunza ukipata nafasi ya kumpenda mtoto wa mtu mpende kawaida
 
Pole kwa huo mkasa ndg , hopefully sahivi ume recover
 
Ndio ndugu mwandishi
FB_IMG_17402393822928799.jpg
 
Husika na kichwa cha habari , Umeshawai kumuacha mpnz wako halafu ukajutia baada ya kukutana na Bomu zaidi , halafu unatamani kumrudia uliyemuacha, Funguka tupate experience mbali mbali
Kama wewe wa kwenye avatar lazima nijutie.... Wanyakyusa wataniua kwa mdomo...

"An'ndekile unyambala alinumbili un'nunu un'nunu atwele akasekele isogholo🚮
 
Back
Top Bottom