Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
- Thread starter
- #21
Shida watu ni wagumu ku admit makosa yaoUnajua uzi wako hauwezi kupata watu wa kukili kuwa walipoteza pambano kwa kuwaacha watu wao na kujutia kwa sababu ya ukiburi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida watu ni wagumu ku admit makosa yaoUnajua uzi wako hauwezi kupata watu wa kukili kuwa walipoteza pambano kwa kuwaacha watu wao na kujutia kwa sababu ya ukiburi
Hilo linafahamika , hoja ni pale ulimuacha mtu wa maana ukaenda kwa mtu wa hovyoWatu wanasonga mbele sio kurudi nyuma
Ule na matingo fijoKama wewe wa kwenye avatar lazima nijutie.... Wanyakyusa wataniua kwa mdomo...
"An'ndekile unyambala alinumbili un'nunu un'nunu atwele akasekele isogholo🚮
Eeh unasonga mbele na sisi bahati tuangukieHilo linafahamika , hoja ni pale ulimuacha mtu wa maana ukaenda kwa mtu wa hovyo
Haujawai kwenda kwenye relationship worse kuliko iliyopitaSijawahi! Nikiamsha popo ni mbiooo za kumshinda kasongo
Vp sahivi umesha songa mbele au bado jimbo lipo wazi ?Eeh unasonga mbele na sisi bahati tuangukie
Please clarify moreUsiache mtu, mbadilishie level tuu.
Kama ww n mwanaume afu mwanamke akizingua.Please clarify more
Hapana niko na aim for the highest wakati woteHaujawai kwenda kwenye relationship worse kuliko iliyopita
😹Unataka Nini ?Vp sahivi umesha songa mbele au bado jimbo lipo wazi ?
Nataka kutangaza nia , usiogope ndio mwanzo wa kufahamiana😹Unataka Nini ?
Siogopi WalaNataka kutangaza nia , usiogope ndio mwanzo wa kufahamiana
Nini hiko mkuuNdio ndugu mwandishi View attachment 3247036
Sawa nakuja PMSiogopi Wala
Kuwa na amani
Wewe mwamba ushavuka kwenye majuto, mtu unapika mpaka makande mwanamke atakutishia nini sasa mpaka ujutie kumuacha🤣🤣🤣Nijutie kisa nini?
Hapo sasa 😂Wewe mwamba ushavuka kwenye majuto, mtu unapika mpaka makande mwanamke atakutishia nini sasa mpaka ujutie kumuacha🤣🤣🤣
Story ina funzo kubwa hiiKuna demu nilikuwa nae tulikuwa vizuri kipindi tuna mahusiano. Nikaja kugundua yupo na mtu nikafuatilia kwa kina nikaja kujua kumbe hawakuwa wamefanya lolote na jamaa ndie alikuwa anamkazia.
Nikamwita nikakaa nae kitako na kumjulisha kuwa nimejua kinachoendelea na kuwa sisi ni watu wazima kama haujaridhika na mimi ni jambo la kusema mapema na kumalizana kwa heshima kuliko kupigana matukio ya ghafla baada ya kupotezeana muda.
Akakubali mashitaka na kukiri ni kweli hakuwa muaminifu ila hakuwa amefanya chochote na jamaa na hakuwa anamchukulia serious, mimi nikamwambia Mimi nakushauri uende kwa jamaa kwasababu mimi kama nipo na una entertain mtu mwingine then yeye ndie muhimu wacha niwapishe.
Ila Kashi kashi haikuwa ndogo alipiga hadi magoti na kulilia hadi kwa familia yangu. Baadae tukayajenga na kusuluhisha na kuanza mahusiano kwa masharti mapya. Kweli alibadilika ila moyoni mimi alishanitoka nikaona nadeal na demu msaliti.
Miezi kadhaa mbeleni nikaja kutana na pisi moja kali sana nikiwa mkoani kimasomo. Demu tulivibe sana ikawa kila kitu ana click haraka sana na vile alivyomzuri nikahisi labda ni mtego au naota. Yule demu kwanza alikuwa ni mdogo na very pure,mimi nakutana nae mwili wake ulikuwa umekaza balaa.
Ndani ya wiki mbili za mawasiliano tukaanza kufanya mapenzi. Hadi leo naamini sijakutana na demu mtamu kama yule. Tulikuwa tunapekeana moto almost everyday of the week na ni ile very deep. Mwili unaweza choka ila akili inamtaka kwa ugwadu tunabakia kutazamana usoni kwa hamu.
Mimi nikaona hapa hapa. Huyu ndie soulmate nimeletewa na MUNGU. Huyu niliyenae wacha tu nimtafutie sababu aende akatafute mwenzake mimi nimeshapata nikiliyekuwa namtaka.
So nikamwita yule Demu mpya nikamwambia nataka tuwe serious next level. Yaani nataka uwe wangu wa maisha akasema sawa haina shida,so lets make this official.
Mimi yule niliyekuwa nae niliporudi likizo nikaona isiwe shida wacha nifanye kumsanua tu kuwa kiukweli naona hakuna mbele wala nyuma. Kama watu wazima tupeane ukweli tu yale matukio yako yamenifanya akili yangu haifeel kabisa mapenzi juu yako najihisi kusalitiwa muda wote sina amani. So i think nahitaji muda wa kutuliza kichwa changu unipe space.
Vita ilikuwa kubwa sana akanibembeleza sana. Nikamwambia si bado tunawasiliana why unahofu,relax.
Nikarudi mkoa baada ya likizo na kuendelea na penzi jipya. Marafiki zake sasa wanafiki wakubwa wale ndio wakaja kuwa shida baadae nilipomaliza masomo.
Demu nilimwambia anipe miezi michache nitamtumia nauli aje Dar kuanza life mpya nakwenda kuandaa mazingira mapya. Nikaja Dar kuandaa mazingira kweli,demu akawa anapiga sana simu kuulizia lini safari,me nampanga kuwa avumilie kidogo tu.
Ikapita miezi kama 4 hivi,demu akawa hapatikani hewani. Nikapatwa na wasi wasi sana demu WhatsApp, Instagram, Facebook kote hayupo active,kafa nini?
Mzee nikapanic sana. Kwa bahati nzuri nilikuwa nina safari ya kurudi mkoa kufuatilia vyeti vyangu. Miezi kadhaa baadae. Nikajipa moyo kuwa nitakapokwenda nitaandaa na nauli yake kabisa nikienda kuchukua vyeti na yeye namchukua mazima tugeuke sote.
Siku chache baadae ananipigia simu namba ngeni ya rafiki yake. Akanambia ananisalimia tu then baadae atanipa namba yangu. Nikastaajabu why atumie namba ya rafiki yake kunipigia and why anipe namba baadae.
Kumbe demu kuna njemba imemuweka ndani. Na ana mimba ya miezi kadhaa juu. Hayo alikuja kunambia baadae. Nikaumia sana tena sana. Ila nikajiambia huu pengine ni utani ananizingua kuona reaction yangu. Nikamwambia soon nakuja utanionyesha hiyo mimba.
Kasema sawa. Mimi hapo kila siku nasali kuwa huu uwe ni mzaha tu na sio serious. Kweli siku kadhaa mbele zikasonga nikaenda. Kufika akaja nilipofikia tukakutana. Dah mzee,ni kweli ana ujauzito mkubwa fu. Aisee mwili ulipiga ganzi wote.
Nikamuuliza why umefanya hivi,ananiambia aliona namdanganya na hata rafiki zake walimshauri kuwa ni bora aanze upya na mtu mwingine sababu wanafunzi wa vyuo huwa ni wasanii sana na hawanaga mipango ya ukweli. Kwamba huko Dar nimekwenda kuanza life upya na yeye ndio ilikuwa basi akaona amkubalie huyo jamaa aliyenae na wanaishi pamoja.
Akajiliza machozi yake ya kipumbavu pale me nimeduwaa tu ,nikamwambia hivi unajua hapa nilikuwa nakuja kukuchukua tugeuze wote turejee Dar,kama hauamini hata sasa tugeuze turudi,akaniuliza na hii mimba itakuwaje? Nikakosa jibu.
Nikamwambia hebu ngoja nirudi then tutajua mbeleni.
Nikarudi njia nzima nina mawazo na majuto plus kukata tamaa. Nikajilaumu sana hata kwa vifu ambavyo hata sijafanya. Nikasema kwann sikugeuza nae huyu fala kipindi kile kile nilipomaliza UE then ningejua mbele ya safari? Why nilimuamini kumuacha na ana akili za kitoto hivi?
Nikaanza kujilaumu kwa nini hata nimempiga kibuti huyu niliyekuwa nae na alishanililia miguuni pangu na kuomba misamaha yote na kukubali masharti magumu kuyafuata?
Hadi leo najilaumu sana mzee. Sana tena sana najutia sana.