Umeshindwa kupata mchumba kanisani,msikitini utampata online kweli???!!!

Hamna sehemu ya uhakika unayoweza kupata mtu asikusumbue!!Tusiwe tunaongea tu ili mradi...
unaposema wachumba wanapatikana kanisani/msikitini....kwani hawa waliopo hapa JF wanatokea ulimwengu mwingine???
Waliopo hapa ndo wale wale unaokutana nao mtaani...kwenye nyumba za ibada...maofisini na kwingineko!!Sasa kama waliopo hapa ndo wale wale....kuna ubaya gani ukikutana nae hapa badala ya bar au kanisani kwasababu hamsali kanisa moja???au msikitini kwasababu yeye hayupo mkoa uliopo wewe???
Hamna sehemu ambayo ndiyo watu wanatakiwa kukutana...popote na wakati wowote!!Muhimu ni wote wawe na malengo sawa!
Nakubaliana na wewe but usumbufu unatofautiana yule wa kanisani/msikitin,kwenye starehe(bar,disco nk),hata yule wa jf ni tofauti tena wa humu duuh!!
 
Haya kaa mbali na JF!!!
 
Ila humu watu wachoyooo! hawasemi kama wamefanikiwa na wengine wajitose
 
Achani kujidanganya kwa vi2 ambavyo vko wazi,wewe kama ni muumini mchumba utampata kanisani/msikitini iweje leo uje utafute humu jamvini?tena humjui ingawa umeweka vigezo unavyovipenda lakni havitakua na nguvu kma yule unaemuona live.Jamani hebu 2acheni kupoteza muda kwa vi2 visivyowezekana.
Kuna wakati wa2 walilalamika humu wametafuta wachumba wamepata wachumba hao hawana lolote zaidi ya matamanio ya kukidhi tamaa zao za mwili 2.nimewah kuckia wengine wanaomba wawasiliane kwa skyper tena wanaomba waonyeshwe maeneo nyeti sasa hapo unahesabu umepata au anataka akidhi tamaa zake za mwili 2?Haya anaeona inampendeza na aendelee anaweza kumpata na wakajenga familia bora.
Nb: Ni mtazamo wangu na mawazo yangu yasiwe sheria.

Nimeshindwa kujizuia kujibu fikra zako, siwezi kuziita fikra mgando bali ni fikra conservative *(sijui kiswahili chake) au pengine hukupata fursa ya kutembea na kuona nchi nyingine jinsi online dating/marriage/mpaka kufikia mke/mume iivyofikia katika advanced stage, haya yote ni mabadiliko ya kisoho yanayoambatana na mabadiliko ya kitekinolojia na kiuchumi.

Kimsingi kwenye internet tuna virtual community ambayo ni pana, maana unakuwa umevuka physical boundaries kama muda, distance na physical gathering. Hivyo ni vizuri sana ukajifunza kuheshimu na kutambua umuhimu wa e-gathering inasaidia katika mambo mengi kama mawazo, marketing, biashara, ajira n.k. Hebu imagine hawa watu wote wa kila mchanganyiko utawapata wapi katika msikiti gani mmoja au kanisa la mtaani kwako??? Think out of the box kaka na upunguze kuishi kimazoea...its a new world....sikiliza wimbo wa NAS waitwa new world labda utapata mistari miwili mitatu.....

Ikiwa kama hawa watu unawaamini kwa kuwaomba ushauri, mtazamo ni watu hao hao waliopo mtaani tofauti ni kwamba wanataaluma kidogo ya kutumia internet na pia wako maeneo tofauti na ulipo....nawakilisha
 
Yes niliwah kutafuta humu but yalio nikuta nikajuta na kujua kumbe humu ni ubatili alie nipigia cm kumbe alikua ameshaanzisha maucano na rafki yangu kimbembe mshkaji kaiona number akajua nimemzunguka kumbe demu ndo hajatulia je hapo utasema nimepata au nimepatwa?

kwani hayatokei kwingineko hayn? Iwe JF,FB,Bar, msikitin, kanisan, safarin na hata barabaran, kote ni kukutana, ila nini kinafuata baada ya kukutana ndipo linapozuka tatizo
 
Achani kujidanganya kwa vi2 ambavyo vko wazi,wewe kama ni muumini mchumba utampata kanisani/msikitini iweje leo uje utafute humu jamvini?tena humjui ingawa umeweka vigezo unavyovipenda lakni havitakua na nguvu kma yule unaemuona live.Jamani hebu 2acheni kupoteza muda kwa vi2 visivyowezekana.
Kuna wakati wa2 walilalamika humu wametafuta wachumba wamepata wachumba hao hawana lolote zaidi ya matamanio ya kukidhi tamaa zao za mwili 2.nimewah kuckia wengine wanaomba wawasiliane kwa skyper tena wanaomba waonyeshwe maeneo nyeti sasa hapo unahesabu umepata au anataka akidhi tamaa zake za mwili 2?Haya anaeona inampendeza na aendelee anaweza kumpata na wakajenga familia bora.
Nb: Ni mtazamo wangu na mawazo yangu yasiwe sheria.

alokwambia kanisani au msikitin ndio kuna maghala ya wachumba nani?
Mdau mbona una mawazo mgandooo
 
Mwacheni mwenzenu atoe ushuhuda msimkate kauli.

Yes niliwah kutafuta humu but yalio nikuta nikajuta na kujua kumbe humu ni ubatili alie nipigia cm kumbe alikua ameshaanzisha maucano na rafki yangu kimbembe mshkaji kaiona number akajua nimemzunguka kumbe demu ndo hajatulia je hapo utasema nimepata au nimepatwa?
 
Mdau mimi nimekuelewa sana. Falling in love with a stranger kwa kweli ni bonge la risk. Kwa kuwa ni ngumu kumfahamu mtu online. Na mnakutana na kuendelea next level badala ya kusomana tabia tofauti mgekutana maeneo mengine ambayo yangefanya mjuane kabla ya ku fall.
 
Si kila kinachofanyika western countries ni mfano wa kuigwa. Less stop consider our culture inferior that is what is called recolonization!

Back
Top Bottom