Umeshindwa kupata mchumba kanisani,msikitini utampata online kweli???!!!

Nakubaliana na wewe but usumbufu unatofautiana yule wa kanisani/msikitin,kwenye starehe(bar,disco nk),hata yule wa jf ni tofauti tena wa humu duuh!!
 
Nakubaliana na wewe but usumbufu unatofautiana yule wa kanisani/msikitin,kwenye starehe(bar,disco nk),hata yule wa jf ni tofauti tena wa humu duuh!!

Haya kaa mbali na JF!!!
 
Ila humu watu wachoyooo! hawasemi kama wamefanikiwa na wengine wajitose
 


Nimeshindwa kujizuia kujibu fikra zako, siwezi kuziita fikra mgando bali ni fikra conservative *(sijui kiswahili chake) au pengine hukupata fursa ya kutembea na kuona nchi nyingine jinsi online dating/marriage/mpaka kufikia mke/mume iivyofikia katika advanced stage, haya yote ni mabadiliko ya kisoho yanayoambatana na mabadiliko ya kitekinolojia na kiuchumi.

Kimsingi kwenye internet tuna virtual community ambayo ni pana, maana unakuwa umevuka physical boundaries kama muda, distance na physical gathering. Hivyo ni vizuri sana ukajifunza kuheshimu na kutambua umuhimu wa e-gathering inasaidia katika mambo mengi kama mawazo, marketing, biashara, ajira n.k. Hebu imagine hawa watu wote wa kila mchanganyiko utawapata wapi katika msikiti gani mmoja au kanisa la mtaani kwako??? Think out of the box kaka na upunguze kuishi kimazoea...its a new world....sikiliza wimbo wa NAS waitwa new world labda utapata mistari miwili mitatu.....

Ikiwa kama hawa watu unawaamini kwa kuwaomba ushauri, mtazamo ni watu hao hao waliopo mtaani tofauti ni kwamba wanataaluma kidogo ya kutumia internet na pia wako maeneo tofauti na ulipo....nawakilisha
 

kwani hayatokei kwingineko hayn? Iwe JF,FB,Bar, msikitin, kanisan, safarin na hata barabaran, kote ni kukutana, ila nini kinafuata baada ya kukutana ndipo linapozuka tatizo
 

alokwambia kanisani au msikitin ndio kuna maghala ya wachumba nani?
Mdau mbona una mawazo mgandooo
 
Mwacheni mwenzenu atoe ushuhuda msimkate kauli.

 
Mdau mimi nimekuelewa sana. Falling in love with a stranger kwa kweli ni bonge la risk. Kwa kuwa ni ngumu kumfahamu mtu online. Na mnakutana na kuendelea next level badala ya kusomana tabia tofauti mgekutana maeneo mengine ambayo yangefanya mjuane kabla ya ku fall.
 
Si kila kinachofanyika western countries ni mfano wa kuigwa. Less stop consider our culture inferior that is what is called recolonization!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…