calabocatz
Senior Member
- Jan 1, 2017
- 110
- 88
Umerudia rudia kusoma hayo maneno lakini? Nakushauri soma tena na tena.hii ndiyo akili
Hapana Mkuu. Ukirudia kusoma na hasa alivomalizia, utaona anavozidi kumwaga petrol!Kawakata ngebe wachonganishi
nimesoma sijaelewaUmerudia rudia kusoma hayo maneno lakini? Nakushauri soma tena na tena.
Keshaona moto wa dogo...inshort nilitegemea ajibu nyodo au kwa hasira but kajibu kiheshima safi sana harmonize ila kumbuka harmorapa ndo kiboko ya mabishoo asiyegawa pasi!
Duu kweli kamalizia na kijembeHapana Mkuu. Ukirudia kusoma na hasa alivomalizia, utaona anavozidi kumwaga petrol!
Hahahaaaaharmonize hanaga kelele ndicho nnachompendea..
huyu kaka kweli alienda jandoni.
hawa wengine jando la mwananyamala na amana hawajielewagi
kupima nguvu kivipi wakati mmoja anarap na mwingine anaimba mkuu?Ntwara hoyeee! Kuna shoo itaandaliwa Ntwara na hawa magwiji wawili watapimana ubavu.
jando la muhimbili halina maanaHahahaaaa
Dijitali jandoz
Vyovyote vile wengi tunatafuta maisha kwa ajili ya kusaidia familia zetuUmerudia rudia kusoma hayo maneno lakini? Nakushauri soma tena na tena.
Kusema akomae ili asaidie familia yake ni kijembe?...... Watanzania wengi tumetokea vijijini na tumeacha familia zetu nyingi maskini...... Hivyo kumwambia mtu akazane ili asaidie familia yake sidhani kama ni kijembe bali ndio ushauri wa Kiutu uzima.!Duu kweli kamalizia na kijembe
Mzee wangu, wote hao wanatoka Mtwara, ipo siku utasikia wanaandaliwa shoo ili kujipatia kipato. Natumai litakuwa ni bonge la shoo na kutakuwa na nyomi la kufa ntu!!kupima nguvu kivipi wakati mmoja anarap na mwingine anaimba mkuu?
Sijaelewa, alijisikia vibaya kivipi?
Iyobo ana mvurugo wa akili..Dogo ana akili sana.si kama iyobo musa.