Umesikia aloivyosema Harmonize kuhusu Harmorapa?

Umesikia aloivyosema Harmonize kuhusu Harmorapa?

Harmorapa ni msanii mzur na anajua kuchana ila harmonenga anajua zaid kuimba ndio tatzo ..jamaan hamonenga anajua tuache masihara
 
The guy is very generous.

Anastahiki pongezi.
 
Duu kweli kamalizia na kijembe
Kusema akomae ili asaidie familia yake ni kijembe?...... Watanzania wengi tumetokea vijijini na tumeacha familia zetu nyingi maskini...... Hivyo kumwambia mtu akazane ili asaidie familia yake sidhani kama ni kijembe bali ndio ushauri wa Kiutu uzima.!
 
kupima nguvu kivipi wakati mmoja anarap na mwingine anaimba mkuu?
Mzee wangu, wote hao wanatoka Mtwara, ipo siku utasikia wanaandaliwa shoo ili kujipatia kipato. Natumai litakuwa ni bonge la shoo na kutakuwa na nyomi la kufa ntu!!
 
Alijisikia vibaya then akafanya nini? Na sasa ndio anaongea baada ya kuona angalau dogo ana kamwanga!!!
 
Angalau wanaume wa ki-Makonde wanapeana support, wale wa ki-Sukuma wanapigana vijembe kila mtu kwenye angle yake.
 
Back
Top Bottom