mkuu yawezekana hizo pesa yeye anajua ni 300k kwa pesa zetu za madafu
Huyo Dada yenu wa Dar anafanya kazi gani mjini
Umesahau kama hiyo ni pesa ya mboga tu kwake
Nimeangalia mahojiano yake kweli ana muonekano mzuri, ila sasa umri unaenda sura inaonesha utu uzima ajitahidi apate mume atulie kwenye ndoa, huu ustaa una mwisho wake asije kuzeeka mwenyewe.
Kwani Feza Nursery au Primary hiyo ndiyo Ada yake?Ada za Feza hizo
😀😀😀Yeye ni ng'ombe sio
HBABA kipindi wana mahusiano na huyu dada aliliongelea hili alisema demu alikua analazmisha aliwe kisamvu ndio maana akachoka akaamua kumtema
Mkuu anasbo mambo yako hayo
😂😂 siri za ndani kazitoa njePumbavu sana huyo Dogo
Ukimwi mtupu.Hilo ameliweka wazi akiwa katika kituo kimoja cha TV.
View attachment 1241725View attachment 1241726View attachment 1241727
Unashangaa nini, pesa yatafutwa atiiMi nimeshangaa tu kuwa mtoto wake ada ni 8400USD kwa mwaka
Dunia ya leo ambayo watu wanaulewa anatudanganya kiboya kweli huyu dada.Nimeirudia hiyo clip nikabaki nacheka
Kaanze 3400, 5400 mwisho 8400 USD
Afu anasema huwa anakosa saa zingine mtoto wake anamwambia alipe shule za kawaida
Kitaa lita 2000-2500 vijijini ndio utakuta lita 1000.Kabila la wa mang'ati wanaogea maziwa wanapakaa samli mimi nikiwa shuhuda lakini hukuti wakitamba
Huyu atakua anaogea yale masulu, sijui kama umenisoma??
Masulu ni yale maji ambayo yanatokana na maziwa kuganda vibaya kama unagandisha maziwa ya mtindi
Huyu hawezi ku afford gharama hizo kwasababu yemwenyewe hana gharama kubwa
Maziwa lita moja maxmum sio chini ya buku jero, sasa hapa kama anatumia kindoo kama mimi kuogea sawa maana atahitaji lita 10 ambayo nisawa na 15000.
Yuko dar kwenye joto plus yeye ni mwanamke hivyo ratiba ya kuoga ni mara 3 inamaana akiingia bafuni kwa siku anakua kazika 45000 piga sasa mara 30 ambayo ni mwezi mzima unakuta unapata 1,350,000. Sasa hapa zidisha mala miezi 12 ambayo ni jumla ya mwaka mmoja unakuta unapata milioni 16,200,000 inamaana kama amekua akioga kwa miaka mitatu huko nyuma atakua katumia milion 48,600,000
Umeona kasheshe ya wanaojiita mastar??
Na Hayo ni makadilio madogo nimechukua thamani ya maziwa kwa bei za kitaa sio ushuani
WivuHilo ameliweka wazi akiwa katika kituo kimoja cha TV.
View attachment 1241725View attachment 1241726View attachment 1241727
Anaogea PHOTOSHOP!!!Hilo ameliweka wazi akiwa katika kituo kimoja cha TV.
View attachment 1241725View attachment 1241726View attachment 1241727