Kabila la wa mang'ati wanaogea maziwa wanapakaa samli mimi nikiwa shuhuda lakini hukuti wakitamba
Huyu atakua anaogea yale masulu, sijui kama umenisoma??
Masulu ni yale maji ambayo yanatokana na maziwa kuganda vibaya kama unagandisha maziwa ya mtindi
Huyu hawezi ku afford gharama hizo kwasababu yemwenyewe hana gharama kubwa
Maziwa lita moja maxmum sio chini ya buku jero, sasa hapa kama anatumia kindoo kama mimi kuogea sawa maana atahitaji lita 10 ambayo nisawa na 15000.
Yuko dar kwenye joto plus yeye ni mwanamke hivyo ratiba ya kuoga ni mara 3 inamaana akiingia bafuni kwa siku anakua kazika 45000 piga sasa mara 30 ambayo ni mwezi mzima unakuta unapata 1,350,000. Sasa hapa zidisha mala miezi 12 ambayo ni jumla ya mwaka mmoja unakuta unapata milioni 16,200,000 inamaana kama amekua akioga kwa miaka mitatu huko nyuma atakua katumia milion 48,600,000
Umeona kasheshe ya wanaojiita mastar??
Na Hayo ni makadilio madogo nimechukua thamani ya maziwa kwa bei za kitaa sio ushuani