Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi jua sababu ila suala la Maziwa sikubaliani nalo labda anamaanisha Maziwa mengineNa mimi nilikuwa nawaza hiyo shombo si itakuwa balaa,au ndio maana labda ikawa sababu yule jamaa walioachana naye vilimshinda...?
Mwanawe Krish akienda boarding atakuta class mates wake wanapiga puli picha za mama ake.
Keshazeeka tayari.....Nimeangalia mahojiano yake kweli ana muonekano mzuri, ila sasa umri unaenda sura inaonesha utu uzima ajitahidi apate mume atulie kwenye ndoa, huu ustaa una mwisho wake asije kuzeeka mwenyewe.
HBABA kipindi wana mahusiano na huyu dada aliliongelea hili alisema demu alikua analazmisha aliwe kisamvu ndio maana akachoka akaamua kumtemaHii tuhuma sijui kweli naskia hata janjaro alitunukiwa kwa kula kismvu vyema.
Mi nimeshangaa tu kuwa mtoto wake ada ni 8400USD kwa mwaka
[emoji53][emoji53][emoji53]Ndio maana Dogo Janja alikimbia. Huenda bill ilikuwa kubwa sana ya maziwa.
Ndo kusema hapo yupo ndani ya maziwa!!
Nahapo umepigia hesabu ya chini sana nijuavyo mimi lita 3000 kikombe kikombe cha chai jeroKabila la wa mang'ati wanaogea maziwa wanapakaa samli mimi nikiwa shuhuda lakini hukuti wakitamba
Huyu atakua anaogea yale masulu, sijui kama umenisoma??
Masulu ni yale maji ambayo yanatokana na maziwa kuganda vibaya kama unagandisha maziwa ya mtindi
Huyu hawezi ku afford gharama hizo kwasababu yemwenyewe hana gharama kubwa
Maziwa lita moja maxmum sio chini ya buku jero, sasa hapa kama anatumia kindoo kama mimi kuogea sawa maana atahitaji lita 10 ambayo nisawa na 15000.
Yuko dar kwenye joto plus yeye ni mwanamke hivyo ratiba ya kuoga ni mara 3 inamaana akiingia bafuni kwa siku anakua kazika 45000 piga sasa mara 30 ambayo ni mwezi mzima unakuta unapata 1,350,000. Sasa hapa zidisha mala miezi 12 ambayo ni jumla ya mwaka mmoja unakuta unapata milioni 16,200,000 inamaana kama amekua akioga kwa miaka mitatu huko nyuma atakua katumia milion 48,600,000
Umeona kasheshe ya wanaojiita mastar??
Na Hayo ni makadilio madogo nimechukua thamani ya maziwa kwa bei za kitaa sio ushuani