Umesikia kuhusu Irene Uwoya kuogea maziwa?

Umesikia kuhusu Irene Uwoya kuogea maziwa?

Status
Not open for further replies.
Wanasema Cleopatra alikua anaogea maziwa ili kutengeneza ngozi nzuri

Ss namna ya kuyatumia ndo sijui
Ila hata wewe madam una karangi kazuri[emoji7][emoji7] literary kuliko huyo uwoya[emoji39][emoji39]
 
Uwoya anarudi shule sio [emoji23][emoji23][emoji23]dahh bas yawezekana namkaribia Cleopatra kabisaa[emoji23][emoji28]
Sasa uwoya yule bila madanga hawezi kuishii hapa mjini
Ila wewe ni self made bosslady of your own[emoji91][emoji91]
Yaan wewe ni hatarii sidhan kama mwanamke hapa jf anakufikia miss....
Yaan nnavokuelewaga we mdada jaman[emoji7][emoji7]
I wish hata nipate chance ya kubusu tu kiatu chakoo[emoji4]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom