kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Hakuna course hyo Mzumbe mkuu. Iliyopo inaitwa Health system management (HSM) ipo School of public adminstration and management (SOPAM).Namkumbuka pia Bonta,Mi nipo Second year,yeye ndio alikua anaanza first year!
Alisoma BPA Health Service management
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana alikuwa mwanaharakati sana shule...Ulijua kama atakuja kuwa msanii?
Harakati gani??? Nakumbuka kuna kipindi alikuwa anavaa hereni
Yah lkn sio shule maana kulikuwa na walimu hatari sana na sheria zilikuwa ngumu..Harakati gani??? Nakumbuka kuna kipindi alikuwa anavaa hereni
Hapo mtwara alihamia,ila mbeya day alikuwa mhuni kinoma, huko mtwara nahisi alitulia kidogoYah lkn sio shule maana kulikuwa na walimu hatari sana na sheria zilikuwa ngumu..
Sent using Jamii Forums mobile app
wengi kazi zao ni serikalini- makatibu afya wa halmashauri,mikoai na hospitaliniWaliograduate hiyo program wanafanya kazi gani?
MKUU UMEJUAJE?Fadhili nanyati alikua mitengo sekondari baadae akahaimishiwa msimbati kama mkuu wa shule alikua anajenga maeneo ya kiango kajumba katamuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!usiniulize nimejuaje!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Irene kiwia Nikimwangalia sasa hivi huwa nacheka tu
HUYO DEMU SI NDIYO YULE WA KISURA AU NAKOSEA?Irene kiwia Nikimwangalia sasa hivi huwa nacheka tu
utakuwa umesoma na huyuNimesomea Katoke seminary baada ya kutoka Rutabo preparatory seminary sasa sijui nmesoma na mtu gan maarufu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili iweje???Kama umesoma shule moja/darasa moja au dawati moja na mtu maarufu hapa tanzania mtaje,
Hahahaaaaa nacheka hiiii mke wa mtu huyoNimesoma na Angela Kairuki
Huyu dada ningepata hela mapema ndo angekuwa mke wangu, nilikuwa namwelewa sana.
Sana.
Makongo moja.
HUYU DEMU NI KISU HATARI MKUU
MKUU SHULE GANI?Namwelewa sana, kuna jinsi alivyokuwa analitamka jina langu, dah noma sana.
Basi tena.