Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Ishakufa ile shule, enzi ikjengwa iliitwa PajeroDah aisee Ununio Secondary. Kipindi hicho MwanaFA alinitangulia Madarasa mawili...I can't forget
Mkuu sijisifii,ila pesa nnayo labda umaarufu tu,Nina nyumba ya 300 ml,cruiser V8 mbili, tractor,scania na fuso,Nina uhakika wa 10 mil per months, maisha yangu ni mazuri japo huwezi linganisha na dewji yule alirithi kwa babu zakeMkuu wenzio wote hao maarufu na ni wafanyabiashara
What about wewe ?
Sent using Jamii Forums mobile app
heshima yako bwana shemejiπ³π³π³
Mchomvu alikuwa anakula jani kweli??Primary
Miriam Odemba, Nurdin Bakar, Adam Mchomvu, Andrew Msechu (Spark dog KcK), George Sixbeth ( G nako)
Sent using Jamii Forums mobile app
Salama kabisa bwaba shemeji pole na msiba wa schoolmate wako bwana King Majutoheshima yako bwana shemeji
asante bwana shemeji ππSalama kabisa bwaba shemeji pole na msiba wa schoolmate wako bwana King Majuto
Bilashaka umegonga miaka sabini na ushei saa hiziπππ
Na meno bado ipo waendelea kuvunja mifupa na dada yanguπππasante bwana shemeji ππ
aah nimekula nchi si haba