Umesoma shule moja na mtu maarufu hapa bongo? Mtaje

Mkuu sijisifii,ila pesa nnayo labda umaarufu tu,Nina nyumba ya 300 ml,cruiser V8 mbili, tractor,scania na fuso,Nina uhakika wa 10 mil per months, maisha yangu ni mazuri japo huwezi linganisha na dewji yule alirithi kwa babu zake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sijisifii,ila pesa nnayo labda umaarufu tu,Nina nyumba ya 300 ml,cruiser V8 mbili, tractor,scania na fuso,Nina uhakika wa 10 mil per months, maisha yangu ni mazuri japo huwezi linganisha na dewji yule alirithi kwa babu zake

Na una umri wa miaka 24.

Jf usiku wa manane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sijisifii,ila pesa nnayo labda umaarufu tu,Nina nyumba ya 300 ml,cruiser V8 mbili, tractor,scania na fuso,Nina uhakika wa 10 mil per months, maisha yangu ni mazuri japo huwezi linganisha na dewji yule alirithi kwa babu zake
Daa hongera sana mkuu,tuliozaliwa kwenye familia ya kawaida sidhan kama tutafika level uliyopo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…