Umesoma shule moja na mtu maarufu hapa bongo? Mtaje

hili darasa lazima lilijaa vilaza sana wa shule

Sent using Jamii Forums mobile app
Aunty MAGO kama kitu hukijui piga kimya tu

mwaka 2012 naingia hapo first yr huyo godzilla yeye alikuwa ndo anamaliza diploma..

bill nenga alikuwa diploma mwaka wa kwanza

huyo nandy hata sikuwa najua anasoma level gan zaidi ya kumuona (kalikuwa katoto sana)

keisha nikiwa 3rd yr ndo nilianza kumuona yy akiwa 1st yr so hakuna waliosoma class moja hapo umeskia Aunty MAGO
 
Diwani wa kisalawe Mh Aidani Kitale


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…